Angalieni picha za kuleta humu na si kuleta picha ya jamaa yako au mtu ambaye yupo katika chumba chake na kumweka hadharani
Heshimu uhuru wa mtu na si kila mara kuchukua ya chumbani na kuweka sebuleni.
Haijajulikana je jamaa anasoma au la? na si nzuri kwa watoto wetu vijana wanaosoma
Chujeni picha za kuleta na pia wewe utaheshimika lakini kwa picha hii yaonyesha mletaji ni wale wale wa picha hii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.