Supa Ghee

Supa Ghee

Ngoja nimsaidie Mbuzi Mzee kuweka vibwanga vya pikipiki za bongo:

Polisi.jpg

Arusi 2.jpg




Trafic Kigoma.jpg
 
sasa si mseme hiyo nini? Au gongo ya zamani?...

Gongo ni gongo, halina cha usasa wala uzamani dogo!
Kukujibu swali lako: Super Ghee ni brand ya mafuta ya kupikia. Hayapatikani leo hii ila yalikuwa mazuri sana.
 
haya ni mafuta yalitumika sana miaka ya 80, yalikua yanatengenezewa mwanza nafkiri.

Usiwe na shaka gfsonwin.. hata mie nakumbuka yalikuwa yakitokea humo kabla ya Kimbo toka kenya kuchukua nafasi yake...si unajua tena watz tulivyochakachua vyetu??

off the topic...
gfsonwin hii avatar....mh!!
 
Usiwe na shaka gfsonwin.. hata mie nakumbuka yalikuwa yakitokea humo kabla ya Kimbo toka kenya kuchukua nafasi yake...si unajua tena watz tulivyochakachua vyetu??

off the topic...
gfsonwin hii avatar....mh!!

hii ni picha nikiwa naenda church jumapili.teh teh teh................!
 
na hiyo harusi nafikiri hao maharusi wanataka kufa kabla hawajaonja tunda la katikati sasa huo ndo usafiri gani wa kutumia siku muhimu kama hiyo.shauri yao.
 
Hapa anaelewa vizuri sana, pia kulingana na weather ni poa kabisa na assignments zake anazifanya kwa uhakika zaidi. Ila tu asije akachengwa na kuanza kudei porno .... itakuwa.....balaa
 
Yuhuuuu!gongo,chang'aa,piwa,machozi ya simba, majina yake ni mengi sana kulingana na eneo husika waweza ongezea mengine ukipenda.
 
oooooooooooooh,tena wala wasi wasi hana kashuwarikaaaaaa!
 
niliwa kusikia ukitaka kufaulu soma ukiwa naked, sikuwah kujaribu kutokana na mazingira sjui kama hii inaukweli au vp
 
Duuu.... Jamaa anareply comment za JF!!!! Jamaa katoka bafuni na hataki kupoteza muda na JF hata kidogo... haaaa haaa..
 
Back
Top Bottom