Iko haja Mwigulu Nchemba kuthibitisha kama ni msukuma au Mnyamwezi, mi nadhani anaongoza kwa kupenda misifa ya kijinga ( mchumi Daraja kwanza) ye anajiona ni zaidi hata ya walimu waliomfundisha na maprofesa wa uchumi walio bobea ktk fani lkn hata hawajisifu)