Mwakatrump7
New Member
- Jul 2, 2020
- 3
- 0
Wadau habari zenu very soon nitafungua mgodi wa sunstone naomba sana support ya mawazo kwa wazoefu/ wanaofahamu kwa kina kazi hii inavyokwenda. Asanteni Sana.
Bado mkuu, naomba ideauna soko?
Vipi mkuu umeshaanza kuchimba. Nina sokoWadau habari zenu very soon nitafungua mgodi wa sunstone naomba sana support ya mawazo kwa wazoefu/ wanaofahamu kwa kina kazi hii inavyokwenda. Asanteni Sana.