sunset

sunset

daaah umetisha hasa hiyo ya kuvuka nimeielewa saaana!!
Yaaap ,mkuu huwa napenda sana kupiga picha Wakati jua linazama mkuu ,Kuna picha Moja nilipiga asubuhi Sana ilikua picha ya mwezi ngoja nitafute nitaiweka hapa!Pamoja Sana mkuu
 
Yaaap ,mkuu huwa napenda sana kupiga picha Wakati jua linazama mkuu ,Kuna picha Moja nilipiga asubuhi Sana ilikua picha ya mwezi ngoja nitafute nitaiweka hapa!Pamoja Sana mkuu
Picha ni moja kati vitu vizuri duniani !!
 
3a8725600ada2f22e20a80676147c847.jpg
35f965f983bd15dc4f466eae3bce9325.jpg
,picha hizo pia nilipiga asubuhi Sana nilikua ndani ya Basi !hiyo Moja ya mwisho ilikua video nikaipiga screenshot ka unaoina hapo! Mwezi wa August/ 6/2017 maeneo ya Kongwa
 
hii hapa nilikuwa nipo mtwara sikumbuki ilikuwa mwaka gani nikiwa nimejichokea nikapiga hiyo hapo kuna video yake sasa sijui nilipotezea wap ila was soo amazing!!
 
Attachments

  • FB_IMG_1505991998101[1].jpg
    FB_IMG_1505991998101[1].jpg
    25.5 KB · Views: 32
Back
Top Bottom