Picha hizo mbili ,Ni asubuhi ya Tarehe 6/8/2017 maeneo ya kongwa ,na hizo mbili za mwisho Moja nikiwa navuka busisi kuja Mwanza mwezi Jun 2017,na hiyo yenye tarehe ilikua mwaka 2014 Naqoura
Usiwaze nipe muda!!Tupia na sun rise
fail to plan = plan to fail.
😉Safi umejitahidi
daaah umetisha hasa hiyo ya kuvuka nimeielewa saaana!!Picha hizo mbili ,Ni asubuhi ya Tarehe 6/8/2017 maeneo ya kongwa ,na hizo mbili za mwisho Moja nikiwa navuka busisi kuja Mwanza mwezi Jun 2017,na hiyo yenye tarehe ilikua mwaka 2014 Naqoura
Sent using Jamii Forums mobile app
hii mbona kama mtwara au naona wenge!!Na mimi nilipiga hizi View attachment 586677
hizi zote nilipiga nikiwa moshi !!ulikuwa sehemu gan?
you have a thousand and i have a million we love our mama land broo!!A thousand reason to love Tanzania.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]my mama land.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya mwisho nzuri sana kuweka ukutani ukiikuzaNitarudi na mrejesho mkuu!!
Naqoura hii itakuwa LebanonPicha hizo mbili ,Ni asubuhi ya Tarehe 6/8/2017 maeneo ya kongwa ,na hizo mbili za mwisho Moja nikiwa navuka busisi kuja Mwanza mwezi Jun 2017,na hiyo yenye tarehe ilikua mwaka 2014 Naqoura
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmh aisee hivi camera ni shi ngapi !!
Uko Sahihi, Mikindani hapahii mbona kama mtwara au naona wenge!!