Sungusungu wawachapa wanawake viboko, Katavi

Sungusungu wawachapa wanawake viboko, Katavi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,448
Reaction score
2,099
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa viboko hadharani wanawake wawili, wanaodaiwa kuwa na migogoro ya ndoa na kuwatoza faini ya shilingi laki sita sanjari na kuwafukuza katika Kijiji hicho kilichopo katika Halmashauri ya Mpimbwe





Chanzo: ITV DIGITAL
 
Back
Top Bottom