Shukuru
JF-Expert Member
- Sep 3, 2007
- 748
- 15
Jamani eeh jana hom kulizuka ubushi wa hali ja juu..
Eti sumu iki-EXPIRE itakuwa na uwezo wa kuuwa tena?
Jamaa anasema eti ndio itakuwa sumu zaidi..mmh mimi naona kama si kweli kwa sababu si-imesha-expire....sasa ita'uwaje tena?
We unasemaje? kama nitapata chemical proof itakuwa bomba