Sumu iliyo-expire

Shukuru

JF-Expert Member
Sep 3, 2007
748
15
Jamani eeh jana hom kulizuka ubushi wa hali ja juu..

Eti sumu iki-EXPIRE itakuwa na uwezo wa kuuwa tena?

Jamaa anasema eti ndio itakuwa sumu zaidi..mmh mimi naona kama si kweli kwa sababu si-imesha-expire....sasa ita'uwaje tena?

We unasemaje? kama nitapata chemical proof itakuwa bomba
 
Itategemea na sumu yenyewe,kwa kawaida chemicals uwa na tabia ya kudicompose,in short to change to another substance.Sasa kama sumu wakati wa kudicompose ikachange to a more harmful substance hapo sasa ndo itakuwa balaa zaidi.Lakini ikiform a neutral compound hapo so ndo haiuwi tena.

Anyway ni mtazamo tu
 
Sumu yoyote ina target sites of action katika mwili (wa binadamu au hata mnyama); depending on the active ingredient na chemicakl componets zake yafuatayo yawezekana;
• Sumu kukosa nguvu endapo chmical structure ikibadilika component "kumeguka" na kuiondoa ile compound structure, kwa waliosoma medicinal chemistry wanakumbuka actions za sructures na vitu kama isomers etc
• Pia sumu yaweza kuwa lethal zaidi kama decomposed au free molecules zake pia zina madhara
• Pia yaweza kukosa ukali iwapo free molecule zake zinapoteza nguvu

Lakini ndugu yangu!! Yote hayo ya nini? Yaani kuna mtu anataka kujaribu sumu? Mimi ningeshauri sumu ni sumu tu, iwe within shelf life au ime-expire… CHEZA NAYO MBALI
 
jamani eeh jana hom kulizuka ubushi wa hali ja juu..

Eti sumu iki-expire itakuwa na uwezo wa kuuwa tena?

Jamaa anasema eti ndio itakuwa sumu zaidi..mmh mimi naona kama si kweli kwa sababu si-imesha-expire....sasa ita'uwaje tena?

We unasemaje? Kama nitapata chemical proof itakuwa bomba

kila kilicho expired ni sumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom