SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Baada ya utata mwingi wa kusambaa ni vipi vita imeishaje huku hakuna gaidi alikamatwa katika vita ya siku nne . Hatimaye imefichuka kuwa sumu imetumika kumaliza utata......

The militant group behind the four-day takeover of a Nairobi mall claimed Wednesday that Kenyan government forces used chemical weapons in their assault on the building, then carried out "a demolition" to cover evidence and buried 137 hostages.

In a series of Twitter posts from an account believed to be genuine, al-Shabab said that "having failed to defeat the mujahideen inside the mall, the Kenyan govt disseminated chemical gases to end the siege."

They added "to cover their crime, the
 
Kwa hiyo wewe unaamini kinachosemwa na hao wauaji mpaka kuamua kuileta hiyo habari hapa na kuianzishia thread? Hizo ni propaganda zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Tiba
 
wingu kubwa limetanda juu ya nini kilikuwa kikiendelea ndani ya westgate ktk kipindi cha siku 4 za mapambano makali, bt what we know is that a lot of people are missing
 
Kwa hiyo wewe unaamini kinachosemwa na hao wauaji mpaka kuamua kuileta hiyo habari hapa na kuianzishia thread? Hizo ni propaganda zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Tiba

Akili za kuambiwa changanya na zako. Umetangaziwa vita imeisha . Lakini hatuambiwi magaidi wako wapi , wamekufa au wamekamatwa wala hatuambiwi kama walitekwa wako wapi ........ Africa siasa imetawala kuliko ukweli.
 
Kuna watu mpaka sasa hawajawaona jamaa zao,kwa hili naamini kuna mchezo mchafu umefanyika..
 
Hili liko wazi kabisa, hostages zaidi ya 60 hawajulikani walipo na vita imeisha. magaidi walikuwa 15, sita waliuawa, Je, hao 9 wako wapi?!! hawasemi kama wamewaua au wamekamatwa au walitoroka. Hapo kuna wingu kubwa nyuma ya pazia.
 
Wao walitaka wauliwe kwa njia gani? Hawana adabu wauwaji hawa waliokuwa tayari kuua watoto wadogo? Whatever method. For as long as they are dead, so much the better.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama gesi imetumika kuua magaid, ina maana wakenya wameua na raia wake ambao walikuwa wanashikiliwa kama mateka, harafu katika picha zote walizopiga hakuna picha ya gaid hata mmoja kati wa wanaodaiwa kuuawa na kukamatwa,
 
Wao walitaka wauliwe kwa njia gani? Hawana adabu wauwaji hawa waliokuwa tayari kuua watoto wadogo? Whatever method. For as long as they are dead, so much the better.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kwanza nawapa pole sana waliokutwa Wakenya na wote waliokutwa najanga hili kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Tatizo katika kumaliza ile Filamu ni kwamba kuna Raia wengi wa kenya ambao walikuwa ndani ya jemgo nao pia wamekufa.

Hapa lazima kuna utata katika kumalizika kwa hii kitu.

yaani wametumia usemi " HERI WACHACHE WAFE KUOKOA TAIFA ZIMA LISIANGAMIE"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
poleni sana ndugu zangu wakenya !!ila mkae mkijua kwamba na jeshi lenu nyinyi linauwa watu wasiokuwa na hatia kule somalia kwa kisingizio cha alshabab la msingi ondoeni majeshi yenu halafu tuone kama mtashambuliwa!!
 
Kama ni kweli mateka waliokuwemo walinyimwa chakula wala maji,unatarajia wangeokolewa?ni tukio la kishetani kabisa la hawa alshabaaby kushambulia watu wasioweza kujitetea na ni la kulaaniwa na binadamu yeyote mwenye akili za kawaida

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yani hao magaidi wanataka sasa Kenya ifananishwe na Syria ili kututoa kwenye mjadala wa kuongelea ugaidi wao.
 
Back
Top Bottom