Sumsung S Ultra bei zake zikoje

Sumsung S Ultra bei zake zikoje

Kama ni mpya ni bei rahisi. AliExpress ni 480 USD ya 128GB+8GB. Used hiyo bei sio mbaya pia.... Ikiwa ni mpya naomba nijulishee hilo chimbo
Xiaomi 12 Pro ni simu kali sana, kinachoiangusha ni hiyo issue ya overheating na battery draining inayosababishwa na chipset ya Qualcomm Snapdragon 8 Gen 1 ndio maana ninarecommend Xiaomi 12T Pro inayouzwa around TSh 1.2M in AliExpress, unaweza kusoma review yake gsmarena, yenyewe haina shida, imetulia fresh na Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1.
Ukiwa na 1.3M basi Xiaomi Mi 11 Ultra imekamilika kila idara, hususani kwenye camera. Xiaomi yuko makini sana na kazi zake, I'm always number one fan[emoji91][emoji91]
 
Sisi kama Xiaomi tunatambua mchango wako katika swala zima la kutupigia debe soon utaanza kula shavu la ubarozi wa mi
 
Zikisifiwa Google Pixel au iPhone watu wanasema huo ndio ukweli.
Zikisifiwa Xiaomi, wanasema zinapigiwa debe. Why?
Anyway, nimeona thread zako, ww unazipigia debe Infinix na Tecno[emoji23][emoji23] Sasa nimeelewa kwa nini inakuuma kuona Xiaomi anafanya vizuri na anapewa sifa anazostahili. Hizo Tecno na Infinix zina safari ndefu sana na safari hiyo haitakamilika[emoji38][emoji38]
 
Ni heri kununua simu ya bei kuliko kuhonga malaya malaya hatosheki leo tv kesho mama yake anataka hela ila simu ukinunua umemaliza
 
Kweli mwingine anasema hawezi kununua simu ya 600k alafu kuna malaya kamlipia kodi ya miezi sita alafu anatomba kwa kuvizia
 
Back
Top Bottom