Sumsung S Ultra bei zake zikoje

Sumsung S Ultra bei zake zikoje

Daaa watu wana hela...simu inauzwa 3.5m na nyumba yangu yote bati znatakiwa za 3.5m loooooooooh
Ila unakuta mtu kwa kutumia simu yake kwa mwaka anafanya madeal ya zaidi ya milioni 20. Simu ukinunua kama pambo ni liability.

Ila kwa wale kama mimi ambao simu ni kitendea kazi basi ni asset. The more napata simu latest na yenye improvement ya features then nakuwa katika nafasi nzuri ya kufanya mambo yangu kwa utulivu bila shida.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Bei za Dar kwa sasa ukiwa na 2,600,000/= unapata Samsung Galaxy S23 Ultra yenye 8GB RAM 256GB ROM. Vilevile S23 Ultra yenye 12GB RAM 512GB ROM inauzwa around 2,900,000/= hadi 3,100,000/= hivi. Kuna version ya 12GB RAM na 1TB ROM hii ndio nimeona inauzwa TSh 3,500,000/=.
Hizi ni bei za Dar za Samsung Galaxy S23 Ultra zikiwa mpya full box.

NB: Kitu original kabisa ingia M-City na mfuko uwe umenyooka pia [emoji28][emoji28]
Kwa Mlimani hizo bei za kawaida sana tu
 
Trust me wabongo wengi kwao simu is more of a fashion than Utility. Hawezi kuitumia simu kwa 100% efficiently.
Ila unakuta mtu kwa kutumia simu yake kwa mwaka anafanya madeal ya zaidi ya milioni 20. Simu ukinunua kama pambo ni liability.

Ila kwa wale kama mimi ambao simu ni kitendea kazi basi ni asset. The more napata simu latest na yenye improvement ya features then nakuwa katika nafasi nzuri ya kufanya mambo yangu kwa utulivu bila shida.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani nani atanunua hizo simu za gharama kama wote tutalia lia kama wewe.nina jirani yangu alinunua s22ultra kwa m2 amekaa nayo muda sasa ameniambia anaiuza anunue iphone 14 pro max ili aonje utamu wa apple pia.kwa hiyo kaka usishangae watu kununua huzo simu kubwa ,wewe ndiye huna pesa unatakiwa kufanya kila juhudi ili na wewe umiliki pesa na umiliki vitu vizuri kama wanaune wenzako
Mchambo huo wewe ni jinsia gani
 
Hivi Xiaomi 12 Pro kwa laki 9 hiyo Bei ni Sawa au napigwa?
Kama ni mpya ni bei rahisi. AliExpress ni 480 USD ya 128GB+8GB. Used hiyo bei sio mbaya pia.... Ikiwa ni mpya naomba nijulishee hilo chimbo
 
Back
Top Bottom