Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,392
usb kwenye simu au pale kiunganishio cha charger?nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
kama ni kwenye simu pagumu hapo, battery linatoka? halijavimba? naona kama ni vyema ukamuone simu ili ujue ni system charge, battery au motherboard ndio imeumia.