Sumsung J1 na Tecno W1 ipi bora

Sumsung J1 na Tecno W1 ipi bora

hizo simu zenye cortex a7 hata vigame vidogo kama dream league vinapata shida, umekosa umekosa angalau cortex A53.

huawei p8 lite na samsung j5 huwa nazirecomend sana sababu zinapatikana kirahisi budget ya 200,000 hadi 300,000. zote zina ram zaidi ya 1GB na pia zina cpu ya cortex a53, pamoja na vioo vya HD.
Asante sana chief
 
A series mapungufu yake ni yale yale ya siku zote
-Zina kioo mbele na nyuma, kioo cha nyuma kinaweza crack muda wowote, hakiharibu simu lakini kinaweza leta shape mbaya, ila kama ni mtu wa fashion na unapenda simu yenye muonekano mzuri glass ya nyuma na mbele ni nzuri uwe tu mtunzaji, au uiekee protector.

-perfomance yake haiendani na bei yake, hizi simu hawazieki processor zenye nguvu sana, inatosha matumizi yote ya kawaida ila vitu vizito haitaweza kuvirun. ila sababu ya cpu dhaifu unapata simu inayokaa sana na charge.

kama matumizi yako ni ya kawaida ni simu nzuri, bei zake huwa ni kubwa kuliko j series jiandae around 600,000 hivi kwa A5.
Dah! Asante chief....!
 
Back
Top Bottom