Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

Knowledge ya Tech inamsaidia kujua ni simu ipi nzuri kununua katika reasonable prices kulingana na matumizi yake.
Kama matumizi yako ni ya kawaida na midrange inakutosha kwa nini upoteze hela nyingi kununua flagship?
True ila KUNA KITU KINAITWA "STIGMA" ni sawa na mtu leo amuone Mo dewj, bakhresa au hata mondi akigombania daladala , ni kitu cha kawaida lakini kwa sisi raia wengine tutaona maajabu.
 
Nilichogundua ni kwamba watu wachache sana ndio wanajali sana hiyo 5G. Mfano mimi huwa sijali kuhusu 5G, cha msingi simu iwe nzuri basi. 4G ya Voda huku ninapokaa ipo faster sana
Mpaka mtu kaja kuanzisha thread ya hiyo simu, jua ni kweli kuna kitu kimemvutia zaidi. Labda tu umshauri anunue simu ipi kulingana na matumizi yake
Kaka hata 3G wakati tunahamia 4G ilikuwa vizuri. Ila saa hizi iko slow balaa. Hata 4G inaweza guswa tukihamia 5G
 
True ila KUNA KITU KINAITWA "STIGMA" ni sawa na mtu leo amuone Mo dewj, bakhresa au hata mondi akigombania daladala , ni kitu cha kawaida lakini kwa sisi raia wengine tutaona maajabu.
Duh.... Sasa ndio hadi kwenye Tech. Kwa hiyo mtu anayejua tech kiundani sana anapaswa kutumia expensive devices[emoji848]
 
Kaka hata 3G wakati tunahamia 4G ilikuwa vizuri. Ila saa hizi iko slow balaa. Hata 4G inaweza guswa tukihamia 5G
Muda utafika tu ambapo 5G ndio itakuwa standard na 4G itakuwa chini ya standard.
Ila kwa sasa bado 4G iko na thamani.
 
Mninunulie pia jaman....sijawahi tumia simu ya laki9 ....huku mbeya uyole ukiongeza hapo m1.1...kiwanja tayari unacho
 
Back
Top Bottom