Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Nilitania tu kakaNilimnunulia mtu, pia kwanini nisitumie Midrange? Siku hizi kuna Midrange zina Nguvu sana.
Nilitania tu kakaNilimnunulia mtu, pia kwanini nisitumie Midrange? Siku hizi kuna Midrange zina Nguvu sana.
Kumbe mnyiha wa mboziEnna
Nyakyu mkuuKumbe mnyiha wa mbozi
MnyakiNyakyu mkuu
Yeah,karibu tukuyuMnyaki
Mkuu kama utanunua hapa Bongo mfuko inabidi unyooke kidogo. Hii Samsung Galaxy A53 5G ukizunguka maduka ya Dar bei ni 870,000/= hadi 950,000/= Bei nyingi zinacheza hapo, inategemea tu duka uliloenda.Jaman Bei hamjatoa kwa Sasa A 53 mpya nishilingi ngap madukani