Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

A53 achana nayo. Haina uwezo wa 5G. Tafuta simu nyingine. Dunia inaenda 5G kwa kasi utaachwa nyuma
Nilichogundua ni kwamba watu wachache sana ndio wanajali sana hiyo 5G. Mfano mimi huwa sijali kuhusu 5G, cha msingi simu iwe nzuri basi. 4G ya Voda huku ninapokaa ipo faster sana
Mpaka mtu kaja kuanzisha thread ya hiyo simu, jua ni kweli kuna kitu kimemvutia zaidi. Labda tu umshauri anunue simu ipi kulingana na matumizi yake
 
Usimpotoshe mwenzio a53 ina 5gView attachment 2550228
Umeweka screenshot ya A33 5G.
Ya Samsung Galaxy A53 5G ni hii hapa. Ni kweli hiyo simu ina 5G
Screenshot_20230314-104329.jpg
 
Chief mkwawa ni gwiji wa tech lazima watu washangae akitumia midrange phones [emoji23][emoji23]
Knowledge ya Tech inamsaidia kujua ni simu ipi nzuri kununua katika reasonable prices kulingana na matumizi yake.
Kama matumizi yako ni ya kawaida na midrange inakutosha kwa nini upoteze hela nyingi kununua flagship?
 
Back
Top Bottom