Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,859
Sumry si ni kampuni ya ikulu!!!!
Dereva kuwa majeruhi sio justification eti ni ajali ya kawaida!!!!! Dec last yr bus 2 za kampuni ya super feo walikuwa wakishindana wao kwa wao, after 1hr journey superfeo la pili likaanguka baada ya dereva kuishindwa kona just b'se ya kumkimbiza mwenzie, watu kadhaa walikufa, dereva alikatika mkono, zen we cant justfy kuwa ilkuwa ajali ya kawaida just b'se dereva didnt die!!!
Hayuko peke yake, ingekuwa hivyo angeshapotezwa kwenye ramani.
Mmiliki ni nani?
Sumatra wamelala fofo. Inamaana sheria zenu zinachagua?.
Acheni ujinga, hawa Sumry wanatumaliza.
Mbunge!