Sumbawanga acheni uchawi

Ni mawaziri wachache Sana tz wasio kwenda kwa waganga.
Mnakumbuka Kigwangala alipokua waziri alivyokua anajigangua.
Baada ya kukosa uwaziri naona ameacha ule upuuzi
 
Ni mawaziri wachache Sana tz wasio kwenda kwa waganga.
Mnakumbuka Kigwangala alipokua waziri alivyokua anajigangua.
Baada ya kukosa uwaziri naona ameacha ule upuuzi
Ndo maana hawana tija yeyeto ya kubuni maendeleo sababu ya kutumia akili ya bandia ya waganga
 
sumbawanga haiko ivo unavyoisimulia,umekalilishwa ukaamua uje na hadithi ya kutunga.watoto pande izo waoga na nidham ya juu.swanga haiwezi gusa kigoma,mbeya kwa ulozi,jina tu lakini ni sehem poa sana
 
Hiii chamtoto! Kuna yule mgombea ubunge aliyeaswa kutokugobea akakaidi then siku ya mwisho anarudisha form kwa mkurugenzi alitafuta ofisi hakuiona ni huko huko ufipani!
 
Kumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
Hahaha hizi story za kuadisiwa huwa mara nyingi zina walakini
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]uoga huo
 
Halafu eti uchawi wao ni kwa walimu tu baada ya kuadhibu watoto.
 
Tea

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
sumbawanga haiko ivo unavyoisimulia,umekalilishwa ukaamua uje na hadithi ya kutunga.watoto pande izo waoga na nidham ya juu.swanga haiwezi gusa kigoma,mbeya kwa ulozi,jina tu lakini ni sehem poa sana
Umemaliza Kila kitu,mfipa ni muoga kuua, tatizo hawa wajinga wanaandika bila kufanya utafiti wa kutosha.
Katika maeneo yanatisha kwa vitendo vya ushirikina nyanda za juu huwezi kuiacha Njombe na Mbeya huko ndagu ni nje nje.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Huyo anatafuta namna ya kuhamishwa tu,,hizo ni MBWINU wanatumiaga baadhi ya watumishi hasa walimu wakichoka kukaa vijijini wakati wapo chuo ndoto zao zilikuwa kuliga kazi town,,,Mwaka 2015 Masasi kuna mwalimu nae alileta mchezo kama huo akakutwa kalala chini ya daraja,,Mkurugenzi akastukia kuwa ni janja janja ila yule jamaa alikaza kabisa hataki kubaki kule bora aache kazi,,na wazazi wa kile kijiji nao waligoma kabisa yule jamaa abaki pale wakisema amewachafulia sana hali na ustaarabu wao,toka pazaliwe hicho kijiji na toka shule ianze miaka hiyo ya ukoloni ikiitwa Middle school hapajawahi tokea tukio kama hilo mkurugenzi akaamua kumuhamishia akampeleka shule ipo maeneo ya kati ya Masasi mjini na ndanda ila akiunda tume yake ya uchunguzi,,mwisho wa picha ikaja gundulika jamaa alifake sababu hakuwa ameyapenda yale mazingira basi akapigwa onyo kalii na kulipwa nusu mshahara kwa miezi mitatu ila ikawa ndo ashahama zake
 
Habari ya kutunga. Mimi nipo Sumbawanga huku. Hizi habari zinatengenezwa na wajanja wachache kwa maslahi yao. Mkiamini kuna uchawi, mtaamini pia waganga. Biashara ya uchawi na uaguzi ni biashara feki.
 
Sumbawanga siyo kwa kusema acheni uchawi, yaani as if unawaona.

Kule kuna kijijini maalum cha wachawi.

Miaka ya nyuma mgombea ubunge mmoja aliwahi tundika koti hewani as if panya ukuta au kitu cha kushikia hilo koti

Huku anatamba, anayweza kupambana na mie kwenye hiki kiti cha ubunge ajitokeze, watu wote kimyaa.

Kaka yangu mmoja alikuwa anafanya kazi kampuni moja, sijui alikosea wapi, yeye akawa anaishiwa damu , akaenda kutibiwa kcmc, anaongezewa damu akitoka tu hapo wodini, damu imekauka

Sumbawanga shikamoo.
 
huo ni mwanzo tu

mtoto sio wako, akifeli hasara yake na wazazi wake
yanini uhangaike nae
 
Shida ya walimu vijana ujuwajiii saana
 
Kuna wapumbavu hawaamini uchawi upo kuna kaka angu mmoja aliota anafukuzwa usingizini na Honda yake.

Sasa yuko ndotoni kikundi kikubwa cha watu kinamfukuza akaingiza kwake akashtuka usingizini. Akasema subiri nione km pikipiki ipo ile kutoka anakuta pikipiki ipo vilevile km alivyo ipark ila yamoto kuashiria ilitumika kwa safari.

Wachawi wahuni sana acheni tu hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…