Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,468
- 11,249
Dadadeki Mwalimu aombe msamahaWanaachaje sasa labda kwa mfano!
Hapo mwalimu aombe msamaha kwa dogo alafu aendelee na kazi.
MmmmUchawi upo hata vitabu vya dini vimeusema basi ni ujeuri wetu tu bini adamu
Ilimtokea jamaa yangu ambae alikuwa Mwl wa Secondary kule Kigoma Ujiji maeneo ya Nazareth, alitoa adhabu kwa Wanafunzi wachelewaji akawachapa viboko. Kilichomtokea usiku ni kuchapwa viboko vya kutosha kutoka kwa Mwanafunzi wa Kike akiwa na Bibi yake,asubuhi yule Mwanafunzi hakuja shuleni akaja kesho yake akamwita akamuukiza kwanini kamfanyia vile yule Mwanafunzi hakujibu kitu akaona aibu. Akampiga biti pale yakaisha.Wanaachaje sasa labda kwa mfano!
Hapo mwalimu aombe msamaha kwa dogo alafu aendelee na kazi.
Acha tuWanga wanatesa sana watu
daaaIlimtokea jamaa yangu ambae alikuwa Mwl wa Secondary kule Kigoma Ujiji maeneo ya Nazareth, alitoa adhabu kwa Wanafunzi wachelewaji akawachapa viboko. Kilichomtokea usiku ni kuchapwa viboko vya kutosha kutoka kwa Mwanafunzi wa Kike akiwa na Bibi yake,asubuhi yule Mwanafunzi hakuja shuleni akaja kesho yake akamwita akamuukiza kwanini kamfanyia vile yule Mwanafunzi hakujibu kitu akaona aibu. Akampiga biti pale yakaisha.
Hivyo viboko vya kwenye ndoto viliuma? alijaribu kuvihesabu?Ilimtokea jamaa yangu ambae alikuwa Mwl wa Secondary kule Kigoma Ujiji maeneo ya Nazareth, alitoa adhabu kwa Wanafunzi wachelewaji akawachapa viboko. Kilichomtokea usiku ni kuchapwa viboko vya kutosha kutoka kwa Mwanafunzi wa Kike akiwa na Bibi yake,asubuhi yule Mwanafunzi hakuja shuleni akaja kesho yake akamwita akamuukiza kwanini kamfanyia vile yule Mwanafunzi hakujibu kitu akaona aibu. Akampiga biti pale yakaisha.
Keep watching......we are closely this [emoji561] nightNilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.
Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Eng. acha kuamini upuuzi huu...Hizi hadithi za wachawi ni kama hadithi za mazimwiWanga wanatesa sana watu
NgombePorojo tu. Kama anataka kuhama akahonge wakuu wake tu.
Hii stori umetunga kama ni kweli hilo tukio limetokea wilaya gani ili nijaribu kutraceNilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.