Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

Aisee, sumaye kaamriwa na m/kiti atoe tamko.
Chandema mmefika hapa nyambuz
 
Kwani huyo wema anapokea kadi ya Chadema mara ya ngapi? Au mimi ndio sielewi?

Chama inabidi kibadilike kwa haraka sana, vinginevyo wananchi watakipuuza kwa mambo kama haya!
 
hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?

hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Sumaye ana mashamba mengi mpaka mengine serikali inayachukuwa kwa kutoendelezwa!!! Si ajiuzulu siasa akaendeleze mashamba yake!
 
Hata kama inalipa mi siasa sitaki. Kila siku nazidi kupata sababu za kuchukia siasa
 
Huu kwakweli ni ujinga,,,, kwani hawakujua kuwa leo kuna kesi??
 
wanachekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…