Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.
 
Tatizo La Wema Nikwamba Anataka Kuipeleka Siasa Km Maigizo Ya Bongo Movies.Na Cdm Embu Muwe Serious Na Mambo Yenu Mnayoyafanya Km Kipindi Kile Ya Dr Slaa,sahv Mmeonekana Mmepwaya Sna Tna Sna,ngosha Ni Wakupeleka Mpera Mpera Mpaka Atachoka Mwenyewe.Ruzuku Mnapokea Kubwa Tu Mnashndwa Kufanya Kazi?Mnaogopa Nn? Wapi Ile Intelejisia Yenu Imara Yakudukua Mambo Kabla Haijatendeka?
 
Hivi kweli CHADEMA mmefikia stage ya kuanza kuangaika na WEMA kweli??????.....jamani jamani
Mnakijengea picha gani hiki CHAMA?????.......Wema is no more asset tena na si mtu wa kuwafikisha mnapotaka nyie....
EBU kirudisheni chama chenu kwenye misingi yake jamani.....
Dr Slaa MZEE WANGU kokote ulipo kule ebu rudi NCHINI uanzishe CHAMA KIPYA CHA SIASA.........
 
Tatizo La Wema Nikwamba Anataka Kuipeleka Siasa Km Maigizo Ya Bongo Movies.Na Cdm Embu Muwe Serious Na Mambo Yenu Mnayoyafanya Km Kipindi Kile Ya Dr Slaa,sahv Mmeonekana Mmepwaya Sna Tna Sna,ngosha Ni Wakupeleka Mpera Mpera Mpaka Atachoka Mwenyewe.Ruzuku Mnapokea Kubwa Tu Mnashndwa Kufanya Kazi?Mnaogopa Nn? Wapi Ile Intelejisia Yenu Imara Yakudukua Mambo Kabla Haijatendeka?
Kwani Silaha yuko wapi maana tuliambiwa ameenda kula mihogo Canada baadaye tukasikia anasoma wakiwa na mchumba wako huko hajamaliza tu hayo masomo?
 
Tatizo La Wema Nikwamba Anataka Kuipeleka Siasa Km Maigizo Ya Bongo Movies.Na Cdm Embu Muwe Serious Na Mambo Yenu Mnayoyafanya Km Kipindi Kile Ya Dr Slaa,sahv Mmeonekana Mmepwaya Sna Tna Sna,ngosha Ni Wakupeleka Mpera Mpera Mpaka Atachoka Mwenyewe.Ruzuku Mnapokea Kubwa Tu Mnashndwa Kufanya Kazi?Mnaogopa Nn? Wapi Ile Intelejisia Yenu Imara Yakudukua Mambo Kabla Haijatendeka?
Ndio unavyojidanganya,ngosha atakupeleka mpera mpera wewe boya usiyejielewa.
Ccm na cdm ni vyama viwili tofauti sana,nashukuru ngosha mwenyewe ndio ameimaliza kabisa ccm.nani anazungumzia ccm leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ni kupoteana kisiasa au nini!!!

Yaani leo CDM mmeanza kutenga mda wenu kumsubiri Wema muigizaji!!!
Yaani kwa vile Wakudadavuwa kaleta mada ya aina hii umeshachotwa kiasi hicho na kumwamini kabisa? Kwani wewe mgeni humu kiasi cha kumjua alivyo muongo mpaka mahakamani chini ya kiapo anadanganya?
 
Tatizo La Wema Nikwamba Anataka Kuipeleka Siasa Km Maigizo Ya Bongo Movies.Na Cdm Embu Muwe Serious Na Mambo Yenu Mnayoyafanya Km Kipindi Kile Ya Dr Slaa,sahv Mmeonekana Mmepwaya Sna Tna Sna,ngosha Ni Wakupeleka Mpera Mpera Mpaka Atachoka Mwenyewe.Ruzuku Mnapokea Kubwa Tu Mnashndwa Kufanya Kazi?Mnaogopa Nn? Wapi Ile Intelejisia Yenu Imara Yakudukua Mambo Kabla Haijatendeka?
Wameshindwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 23 ndiyo wataweza leo kwa maneno yako matupu huku JF?Kwa taarifa yako Ngosha hamtamuweza hata kwa dawa.Mmepotezana kama kondoo waliovamiwa na chui kila mmoja anakimbia uelekeo tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa vile Wakudadavuwa kaleta mada ya aina hii umeshachotwa kiasi hicho na kumwamini kabisa? Kwani wewe mgeni humu kiasi cha kumjua alivyo muongo mpaka mahakamani chini ya kiapo anadanganya?
Asante mkuu kwa ufafanunuzi, ningeshangaa kama kweli mda ulitengwa maalum kwa ajili hiyo!!!
 
Back
Top Bottom