Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Akihojiwa na Sauti ya America jioni hii, Mh. SUMAYE amesema, wale waliomfanyia fujo jaji warioba ni wahuni na hajapata taarifa rasmi kama ni wanaCCM au lah. Na kama angepata taarifa rasmi kuwa ni WanaCCM leo angeitisha mkutano wa waandishi wa habari kukemea vikali uhuni huo.
Amesema, kwa nafasi alizowahi kushika jaji Warioba hapa nchini hakustahili kufanyiwa uhuni huo na anatarajia serikali ya chama chake itachukua hatua kali dhidi ya wahuni wote waliohusika.
Source: SAUTI YA AMERICA YA SAA 19:30---20:00 RFA.