Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

Jana madhara huyu kwa kujitoa CCM. Mbona hata kule wilaya ya Hanang alikataliwa na wananchi wa kwao alipogombea kuwa mjumbe wa NEC.

Unafahamu kikwete alichofanya??? Kwenye uchaguz wa wajumbe 2012?...ccm weng walikuwa waoga kufunguka sasa subir na dr.bilal aweke unafk pemben afunguke
 
huyu ataenda ukawa,sasa mfano ukawa ishinde watampa cheo gani sasa?,bora aende ACT agombee urais labda atabahatisha....
 
Tukiwakaribisha wengi tutajikuta tumerudi kulekule maana hulka ya mtu kubadilisha sio rahisi. UKAWA ANGALIZO wengi wa hawa ni kikwazo kwa maendeleo YA nchi yetu so kuhama kwao kusiwape kiburi kwamba wanapenda mageuzi. Msilogwe mkawapa majukumu hawa tutalia na kuikumbuka ccm. CCM ni chombo watendaji ni watu so waliokuwa ccm ni watu walioiharibu nchi ni watu tuliochagua watuongoze ni watu sasa leo tusiseme ccm ni mbaya bali ni watu waliokuwa ndani YA ccm ndio waliotufikisha hapa. Salamu hizi zimfikie Mbowe usilewe masifa ukajisahau kuwa makini na hawa WAHAMIAJI
 
Watu Kaskazini ni wabinafsi saana yaani hata uwape Uwaziri Mkuu bado wana nongwa! Ni hatari sana
 
Sumaye anagombea Urais kupitia ACT? Maana ACT wamesema wakati wowote kuanzia leo watamtangaza mgombea wao, na wakataka watu wewe na subira.

Sumaye kwenda ACT? Unlikely.

Uwezekano ni mkubwa kwa Lipumba kuhamia ACT na kuwa mgombea wake wa kiti cha uraisi.
 
tunawkaribisha wooote waje tujenge taifa linalojitegemea sio kila siku kupanda pipa na bakuli....
 
Sumaye kaahidiwa urai na zitto,ndio mgombea atakaepunguz kura za lowassa,ni msiba kwa ukawa a ni strategy ya ccm,chukueni maneno yangu,hutaki unaacha.
 
Mwaga oil chafu/makapi tuweke oil mpyaaaaa
Uongo mkubwa. Kama ni kweli hawa ni oil chafu na hawawajali kwa nini wamem dispach Magufuli akale chakula cha jioni na Wenyeviti kabla hawajakimbia chama? Why?

There is an unprecedented upheaval ongoing within the party right now and the analysis you get from headquarters is "mwaga oil chafu." That's where the problem lies, wanao run chama kwa sasa hawana staha, hawana upeo wa uongozi wala hawajui haki za uanachama.
 
Ni type ya hao hao wanaoangalia sahani ipi imejaa zaid. . . .wamekula side A na sasa wanataka Side B. . .

Unafiki na uroho. . . .

Mkuu kila anaopingana nao au kuwahoji wenzio wanamwita ccm,, ukihoji watakwambia unapinga mabadiliko,,,
 
Back
Top Bottom