Sumaye amechanganyikiwa,chadema wamechanganyikiwa hadj wameitana kwa dharura kukabiliana na tukio la kuchaguliwa magufuli,ili wasipotee kwenye magazeti itabidi kesho watoke na katamko koko
Na wamepotezwa mpaka mkutano wa ccm umeisha,Molemo ndio kaibuka na uzi wa kamati kuu ya chadema