Sumaye: CCM kaa chonjo

Inakusaidia nini kuandika hivi?
Inasaidia coz unajipendeza kwa njaa za ajabu umeuza utu wako haya nenda kalipwe lumumba buku 7. Mwanaume mzima unajipendekeza endelea kujipendekeza na hujapata ukuu wa wilaya
 
CCM bado inafanya campain mpaka sasa wamejisahau kuwa wanach waliowachagua wanataka maendeleo na maisha bora pekeake. Propaganda wasubir mpaka 2020. Nashangaa kuona CCM inaangaika utadhan kama ndyo chama cha Upinzani vle
Ccm hawajui waanzie wapi?Bora watukane na kukejeli wengine maendeleo wamuachie makamba
 
Kama sikosei rais mstaafu wa awamu ya tatu wakati ule wa kampeni alisema watu wa aina hii ni........ mkasema ametukana
 
Naona Leo mlikuwa mkiimba taarabu mkiongozwa na Khadija Kopa
 
Pesa nitatizo kwa vyama vyote Njaa ikizidi watarejea wote
 
Ccm wanapeana uenyekiti kama posa,bila aibu kabisa washabiki wake wako busy kupanua midomo badala ya kupanua akili
 
Sumaye njoo uku kwetu itilima tujenge chama letu maccm yanebaki na ngonjela na mipasho
 
CCM ilikua zamani sio hii inayowaogopa hata vijana wadogo kabisa wa BAVICHA ambao maskini hata silaha hawana wala hawatarajii kuzishika.

CCM inayoogopa kuteketezwa na sauti za wapinzani.

Kama mnafahamu watu wanatakiwa kufanya kazi tu, mliweka live mambo yenu ili nani ayatazame?
 
akhsante mr ZIRO
 
Watu ambao CHADEMA mlipaswa kuwahoji kwa kina walifanya nini walipokuwa na vyeo walivyokuwa navyo na wengine wamechafuka kwelikweli ndio sasa wanakaa meza moja na Mnyika na Lissu eti mnawaita wapambanaji.!
Ni aibu kubwa..kubwa mno.
 
Maccm yamebakiza matusu na mipashe
 
Unamuenea wivu ama soma tuliza makalio yako halafu usome alama za nyakati ww hujawah kuwa na uenyekiti wa mtaa watu wanaakili zaidi yako ww umekunywa kibeer kimoja unasumbua balaa kakojoe ukalale then utajua kesho.

Huyu failure mkubwa amesimamia Serikali Kwa muda mrefu kuliko mwaziri mkuu yeyote....!!! Leo anawaambia watu hakufanya kitu...! Then anasema wakae chonjo...... Nonsense....,
 
Watu ambao CHADEMA mlipaswa kuwahoji kwa kina walifanya nini walipokuwa na vyeo walivyokuwa navyo na wengine wamechafuka kwelikweli ndio sasa wanakaa meza moja na Mnyika na Lissu eti mnawaita wapambanaji.!
Ni aibu kubwa..kubwa mno.
Mbona chenge haojiwi?
 
Lazima tuwakumbuke mafisadi papa
Du mbona wanaporudi mnawapokea kwa mbwembwe na vifijo? Nimeshangaa sana kuona mnawapokea Msindai na Mpendazoe! Watu mliowaita makapi! Nilidhani mpo serious kumbe mnapiga siasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…