It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...Shukrani Mkuu. Kwanza sikuamini kama ni kweli ilipokuja kuthibitika kuwa ni kweli nilichukia sana lakini bahati mbaya sina uwezo wa kihivyo ndani ya Chadema kuzuia maamuzi yale mabaya ambayo yaliwakera wengi sana na pia kuwashangaza. Ikitokea hawa kuamua kurudi walikotoka nitakuwa wa kwanza kufurahia sana tukio hilo.
Toe uchafu wako hapa
It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...
It's true na wakati wengine tunaanza harakati za kuonesha hasira zetu kwa Chadema uliamua kukaa kimya ...binafsi nikajua unapambana kupitia another ID ...kumbe uliamua kubariki huu ujinga unaotugharimu hata sasa ...ndio maana ulipo rudi JF baada ya kimya ukajiunga na kundi linalomtukana Dr Slaa ambaye amesimamia msimamo huu unaosema hadi sasa ndio wako! Umeshasikia "wenye" chama wakimkebehi au kumtusi Dr Slaa? ....usiwe vuguvugu ....simamia unachoamini hata ikibidi ondoka Chadema ili ulinde unachoamini ...
tunashukuru mungu sasa hivi yuko upande wa makamandaSijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Sumaye ni mkweli sana namsifu anasema hawezi kurudi ccm kwa kuteswasumaye mara nyingi usema ukweli nakumbuka kauli yake kuwa "anaetumia vyombo vya habari kuingia madarakani atatumia risasi za moto awapo madarakani"
Kamanda wenye hisia kama zako ni wengi sana ambao kwa njia noja ama nyingine walikubaliana na wengine hawakukubaliana lakini tukapiga hatua moja mbele kukubaliana kutokukubaliana tukasonga mbele bila kugawana fito.Shukrani Mkuu. Kwanza sikuamini kama ni kweli ilipokuja kuthibitika kuwa ni kweli nilichukia sana lakini bahati mbaya sina uwezo wa kihivyo ndani ya Chadema kuzuia maamuzi yale mabaya ambayo yaliwakera wengi sana na pia kuwashangaza. Ikitokea hawa kuamua kurudi walikotoka nitakuwa wa kwanza kufurahia sana tukio hilo.
Napita tu.Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
mkuu mbona unatema cheche sana kuna shida gani?Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuandika ujinga. Sasa kupita kwako sisi kunatuhusu vipi!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Jamaa hana tofauti na Yericko Nyerere.mkuu mbona unatema cheche sana kuna shida gani?
Sasa na wewe hapo si ndo unaendelea kufukua?nyuzi za zamani muwe mnaziacha bwana mnazifukua za nini?
hapana sijafukua na sipendi kufukua maana wengi humu tulikuwa upande uleeee mara uleee kabla ya upepo kubadilika 2015, tuangalie mbele ya nyuma tuyapotezeeSasa na wewe hapo si ndo unaendelea kufukua?
Hahahah! Mkuu, sawa. Ila ilikuwa ni kama umepokea tu beleshi kwenye ufukuaji. Wewe ulikuwa upande upi kwani na sasa uko upande upi?hapana sijafukua na sipendi kufukua maana wengi humu tulikuwa upande uleeee mara uleee kabla ya upepo kubadilika 2015, tuangalie mbele ya nyuma tuyapotezee
Hahahah! Mkuu, sawa. Ila ilikuwa ni kama umepokea tu beleshi kwenye ufukuaji. Wewe ulikuwa upande upi kwani na sasa uko upande upi?