Sumaye amponda Lowassa

Sumaye amponda Lowassa

lowasa ataendelea kuwa lowasa nyie piganeni vikumbo mtajibebs lowasa ulipo tupo
 
Acha ujinga wewe hebu onyesha popote pale nilipojiumbua badala ya kukurupuka. Huwa sibadili misimamo yangu kipuuzi puuzi.
Kwa hiyo kwa hoja yako kuhusu Edo kuwanunua wapiga kura ni sahihi kabisa?
 
Watu wanafiki jamani?
Yaliyopita sio ndwele...
Yashapita hayo.

Kuna mnafiki zaidi ya huyu BAK?

Lowassa ni tumaini la mafisadi, wezi, wahuni, majangili na magaidi na wauza unga nchini. Haiwezekani kiongozi mzuri mwenye sifa za kuiongoza nchi aanze kampeni zake kwa kutoa rushwa ya mamilioni katika nyumba za ibada halafu akadaiwa eti ni "tumaini la Watanzania"

 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Anasubiria 2019 aanze tena....
 
sumaye mara nyingi usema ukweli nakumbuka kauli yake kuwa "anaetumia vyombo vya habari kuingia madarakani atatumia risasi za moto awapo madarakani"
Bado unaamini kuwa anasema ukweli?......BTW siku hizi anaitwa wa mchangani
 
Halafu bado anataka aendelee kuaminika humu. Ukimpa za uso anaporomosha mitusi alivyo na domo chafu. Sijui kwanini sikuhizi MODS wanafumbia macho matusi. Zamani ukitukana ilikuwa unakula ban on the spot. Sijui bana, twendeni hivi hivi kwakuwa ilishasemwa kwamba pesa haina shujaa.
BAK itabidi abadilishe ID maana kwa siku tatu mfululizo nyuzi zake za awali zinazidi kumuumbua.
 
Kuna MOD buku 7 yuko busy kufukunyua threads zangu za miaka ya nyuma, labda kwa akili yake fupi anadhani kutatokea contradiction ya msimamo wangu miaka ya nyuma na sasa.

Anajisumbua sana mimi huwa sikurupuki na kuwa mfuata upepo hivyo kuyumbishwa leo unasema kauli hii, kisha kesho unabadili kauli ili mradi hujitambui.
Mkuu unajitetea, kama sasa hivi unamsapoti Lowassa, basi u mnafiki kwa kiwango cha satelite
 
Back
Top Bottom