Sumaye amponda Lowassa

Sumaye amponda Lowassa

Hahahahahah nimecheka baada ya kuisoma hii kibaraka, alafu utakuta punguwani kama huyu anaita wasio kubali upinzani hawajitambui

Sasa mtu mtu akisoma komenti kama hizo si bora tu ajitoe upinzani na kujiunga CCM , halafu mtu kama MBOWE anadiriki kusema LOWASA hakutoa hata cent tano kujiunga CDM ,HUKU TUKIJUI KABISA JAMAA ALITOA zaidi ya 5B ili apate kuGOMBEA KUPITA CDM
 
hahaha jamani tuwe na akiba ya maneno. ona leo hii mleta mada anavyopata aibu
 
Huu uzi 'unamchoma' sana 'Swahiba wangu' BAK. Siasa za Tanzania ni pasua kichwa. Kwa wale wacheza kamali...usijaribu hata siku moja 'ku-bet' kwa wanasiasa na washangilia siasa. Bet kwa watekelezaji wa mipango ya kuwakomboa wananchi bila kujali nafasi yake.
 
hahaha jamani tuwe na akiba ya maneno. ona leo hii mleta mada anavyopata aibu
Kama tangu lowassa amejiunga CHADEMA mleta Uzi aliwahi kusema ni msafi na sio mtoa rushwa basi hapo atapata aibu..kama hajawahi kusema hayo basi sioni aibu kwake..
 
Kama tangu lowassa amejiunga CHADEMA mleta Uzi aliwahi kusema ni msafi na sio mtoa rushwa basi hapo atapata aibu..kama hajawahi kusema hayo basi sioni aibu kwake..
Fuatilia post zingine baada ya October 2015 anamsafisha kwelikweli .
 
Asante kwa kutukumbush yaliyopita muda sio mrefu chadema inamilikiwa na wamasai toka mikononi mwa wachaga asante sana mawaziri wakuu wastafu jana walipingana leo wapo pamoja
 
Kitu gani kiliwaunganisha ghafla kutoka paka na panya mpaka pete na kidole
 
Huu uzi 'unamchoma' sana 'Swahiba wangu' BAK. Siasa za Tanzania ni pasua kichwa. Kwa wale wacheza kamali...usijaribu hata siku moja 'ku-bet' kwa wanasiasa na washangilia siasa. Bet kwa watekelezaji wa mipango ya kuwakomboa wananchi bila kujali nafasi yake.
Tatizo kuna watu wana-bet kwa wanasiasa ambao wanaongea sana badala ya ku-bet kwa wanasiasa wanaotenda.

Ni rahisi sana kwa mwanasiasa kuyakana maneno yake kuliko kukataa kile ambacho amekitenda na kinaonekana.
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.

Duh blaza umeniacha domo wazi, isije ukawa u mnafiki namna hii in real life, yani lawama zote hizi kumbe mwaka 2013 ulikuwa unamtuhumu lowasa mla rushwa alafu nina uhakika asilimia 99 ulimchagua 2015 na upo side yake sasa hivi. Vinyonga mnashangaza sana, nyinyi ni mojawapo ya maajabu ya Tanzania. Aiseeeeeee!
 
Halafu bado anataka aendelee kuaminika humu. Ukimpa za uso anaporomosha mitusi alivyo na domo chafu. Sijui kwanini sikuhizi MODS wanafumbia macho matusi. Zamani ukitukana ilikuwa unakula ban on the spot. Sijui bana, twendeni hivi hivi kwakuwa ilishasemwa kwamba pesa haina shujaa.
 
Back
Top Bottom