MsamiKowalski
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 285
- 53
Huu uchaguzi umemchakaza usoni.Ni baada ya kukaa kimya baada ya uchaguzi mkuu kuisha, sasa aibuka tena.
Una kipi cha kumwambia kwa kuibuka kwake na matamko hayo??
hivi nashangaa sana mtu ukiwa waziri mkuu kama sumayi siasa anaiweza kweli mtamtangazaaa kama bingwa wa siasa huyo kingunge mwenyewe kakwama halafu eti sumayi katoka mafichoni
anazidi kudhhirisha kuwa ni mr.zero.
Huyu Mr 0 hakuna namba ataacha kuisoma....mpk za kirumi....kwishnei
halafu sasa muda wote huo, kaja na hoja dhaifu kweli. MR. ZERO katika ubora wake.
sumaye na kingunge wana maisha magum sana baada ya uchaguzi,
Kachoka sumayeElimu,Elimu, Elimu. Wewe na Sumaye nani amechoka? Kaa kimya kuliko kuongea usicho kijua
chooni wakimuenzi " wa kujinyea nyea hovyo ".
Zeroooooo kubwa kweli kama mzunguko wa Msanvu Morogoro.
Hii imenikumbusha mbali sana, wakati nasoma darasa la nne nilipata hesabu sifuri. Mwalimu badala ya kuandika sifuri ya kawaida akairemba na miskio mikubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nililia sana.