St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Wenzio wana mabilioni wewe unaeishi kwa kutegemea buku 7 ndio utakiona
Huu uchaguzi umemchakaza usoni.
Ona makunyanzi yalivyoongezeka!!!
Mbona hata wewe hapo ulipo umejinyea na kama huamini jiangalie kwenye kinyeo/kijambio uone kama hayamo.
Chukua LIKEElimu,Elimu, Elimu. Wewe na Sumaye nani amechoka? Kaa kimya kuliko kuongea usicho kijua
Wenzio wana mabilioni wewe unaeishi kwa kutegemea buku 7 ndio utakiona
Naam, kisu walikinoa sasa kina wachinja wao, hili ni fundisho kwa wana siasa wenginewao walikuwa kwenye serikali walitumia dola kusambaratisha upinzani mf.NCCR leo dola ikifanya kazi ile ile wanalalamika.
walikuwa wana uwezo mkubwa wa kutengeneza mazingira bora ya kufanya siasa ya haki na huru lakini waliacha walifikiri watakuwa CCM milele.
Sumaye aliwahi kuwaambia wafanyabiashara wakitaka wafanikiwe wawe wana CCM.
Huyu Mr 0 hakuna namba ataacha kuisoma....mpk za kirumi....kwishnei
Ukitaka kuzeeka kwa matatzo, jiunge na UKAWAHuu uchaguzi umemchakaza usoni.
Ona makunyanzi yalivyoongezeka!!!