Sumaye aibuka tena

MsamiKowalski

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
285
53
Ni baada ya kukaa kimya baada ya uchaguzi mkuu kuisha, sasa aibuka tena.

Una kipi cha kumwambia kwa kuibuka kwake na matamko hayo?

attachment.php
 
Attachments

  • sumaye.jpg
    sumaye.jpg
    79 KB · Views: 18,470
hivi nashangaa sana mtu ukiwa waziri mkuu kama sumayi siasa anaiweza kweli mtamtangazaaa kama bingwa wa siasa huyo kingunge mwenyewe kakwama halafu eti sumayi katoka mafichoni
 
hivi nashangaa sana mtu ukiwa waziri mkuu kama sumayi siasa anaiweza kweli mtamtangazaaa kama bingwa wa siasa huyo kingunge mwenyewe kakwama halafu eti sumayi katoka mafichoni

halafu sasa muda wote huo, kaja na hoja dhaifu kweli. MR. ZERO katika ubora wake.
 
Mr Zero wananchi wa Morogoro wanalilia maeneo yao ambayo umeyahodhi. Kuwa na huruma mr Zero haya ni maisha tunapita tu.
 
halafu sasa muda wote huo, kaja na hoja dhaifu kweli. MR. ZERO katika ubora wake.

Zeroooooo kubwa kweli kama mzunguko wa Msanvu Morogoro.

Hii imenikumbusha mbali sana, wakati nasoma darasa la nne nilipata hesabu sifuri. Mwalimu badala ya kuandika sifuri ya kawaida akairemba na miskio mikubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nililia sana.
 
Napenda sana furaha lakini haidumu na furaha yenu haitadumu mtauona umuhimu wa huyo msemae mr 0
 
wao walikuwa kwenye serikali walitumia dola kusambaratisha upinzani mf.NCCR leo dola ikifanya kazi ile ile wanalalamika.

walikuwa wana uwezo mkubwa wa kutengeneza mazingira bora ya kufanya siasa ya haki na huru lakini waliacha walifikiri watakuwa CCM milele.

Sumaye aliwahi kuwaambia wafanyabiashara wakitaka wafanikiwe wawe wana CCM.
 
Zeroooooo kubwa kweli kama mzunguko wa Msanvu Morogoro.

Hii imenikumbusha mbali sana, wakati nasoma darasa la nne nilipata hesabu sifuri. Mwalimu badala ya kuandika sifuri ya kawaida akairemba na miskio mikubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nililia sana.

Hahahaaa..hivi sumaye na wewe mkuu ni nani mr zero wa kweli?..it shows how low your thinking capacity is...yawezekana uliendelea kupata zero hadi leo! pathetic!..mwezio ashakuaga wazirimkuu,..cheo ambacho hata ukoo wako mzima watabaki kukifikiria tu kama ndoto za Alnacha!
 
Back
Top Bottom