SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

kagalism

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
13
Reaction score
10
Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili. Je! Wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??

6e1bc4ec1b2f56f47c65046e0f39155a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huu ni upumbavu jamani,ivi hawa Sumatra akili zao wamezielekeza wapi,chini ama juu,Wakumbuke tupo kwenye soko huria hayo mabasi yao ya Mwendokasi hayana faida yoyote ile zaidi ya uzembe,Au kwa vile wao wanamishahara mikubwa na Allah amewajaalia magari,Sasaivi itakuwa kama mtu unamgonjwa pale Muhimbili itakubidi umtembelee mara moja tu tena ni jioni,Viongozi wetu wa kitaifa na hao wenye mamlaka walitizame swala hili kiumakini kabisa
 
Kila mmoja ataguswa, halafu tulivyo hovyo na takataka tunashangilia anapopita, rubbish!
 
kitu kinaitwa time factor kwa waTanzania ni tattizo, mtu atoke mbezi halaf aje asubirie gari nyingine hapo, je huku kuchelewa au kuwahi nani anaufidia huo muda
Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kuna gari ya mwendokasi Kimara-Muhimbili bila ya kuunganisha?
 
Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
6e1bc4ec1b2f56f47c65046e0f39155a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Tusubiri official statement kutoka SUMATRA kwani sidhani kama wanaweza Kukengeuka / Kukosea na kufanya hivyo ambavyo Wewe unatuaminisha au unataka kutuaminisha. Nitakuwa wa mwisho kuamini hiki ulichokileta Kwetu.
 
Hivi nyie Sumatra vipi lkn? halafu yule shayo sijui vipi siku hizi, tukimpigia simu anadai atafikisha ujumbe kwani yeye kazi yake nini? ameshiba sifa na madaraka huyu. zamani alikuwa very active. Sumatra amkeni jamani.
 
Mwendokasi si zipo ,unafanya shanting fire au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendokasi zipo xawa lakin kumbuka hakuna mwendokasi ya moja kwa moja kutoka mbez hadi muhimbili au mbezi had gerezan lazma upande hadi kimara sh 400 then ukapande nyingine mia 650 kuelekea town asa.Wakati daladala za kawaida zilikuwa zinatoza naul ya shilling 600 had muhimbil lakin ukiangalia watu weng wanaopanda hizi walikuwa wanashuka maeneo ya katikati ya route kama manzese na magomen but kama ingekuwepo mwendokasi ya kutoka mbezi had gerezan,kivukoni au muhimbil moja kwa moja hapo ingekuwa inamsaidia mtu wa kipato cha chini na hiz daladala ingekuwa ni haki kuzitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Route ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
 
Back
Top Bottom