Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Wabongo tuna shida sana, tunapenda kuanika mabovu ya wenzetu kama vile itatupa relief ya ugumu wa maisha yetu.
Halafu unatangaza kabisa eti home boy...!
Jamaa nimemshangaa sana!
Wabongo tuna shida sana, tunapenda kuanika mabovu ya wenzetu kama vile itatupa relief ya ugumu wa maisha yetu.
Halafu unatangaza kabisa eti home boy...!
Anafikiri wote tunapenda viazi viishe kirahisi rahisi tu Kama maji...tunakula hasara wote jombaa.. unanunua gunia mnakula home wenyewe hamna wateja...Hivi nani hua anawafundisha hesabu za kijinga namna hii, kama ni rahisi hivi na wewe nenda ukawe mkaanga viazi basi