Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!.

Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!.


Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake.


Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua Hatima ya Wazee Hawa

Mzee Butiku?

Mzee Warioba?

Mzalendo Polepole

Mzalendo Gwajima

Mzalendo MPINA?

Nini itakua Hatima ya Mh LISSU na CHADEMA ??.

Chondechonde , Narudia Chonde chonde, IWE KWA DAMU NA KWA JASHO, MCHAKATO URUDIWE UPYA, UWE WA WAZI, WATU WACHUKUE FOMU, KILA HATUA IFANYIKE.



NCHI INAHITAJI RAIS AMBAYE ANAKUJA KUPONYESHA MAJERAHA !!.
 
Back
Top Bottom