Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 504
- 1,356
Xiaomi Redmi Go, Hii kuna mtu alikua anarudi kutoka nje ya nchi nikamwagiza aje nayoSimu yako brand gani? Umeinunua wapi?
Mambo ya Techno hayo,soon itaanza kujiwasha tochi mchana ukiwa umeiweka mfukoni.
Siyo tecno mkuu, Pia ilo tatzo la torch kujiwasha yenyewe nilishawahi kuliexperience kwenye Tecno F2 nikaamua niuzeMambo ya Techno hayo,soon itaanza kujiwasha tochi mchana ukiwa umeiweka mfukoni.
π π π π πMambo ya Techno hayo,soon itaanza kujiwasha tochi mchana ukiwa umeiweka mfukoni.
Umejaribu kubadili protector?Habari wana JF,
Nimenunua simu ina miezi minne sasa, sijawahi kuidondosha wala kuigonga kwenye screen, ila chaajabu screen upande wa juu imeanza kujitouch yenyewe, yaani unatouch huku yenyewe inakupeleka kule..
Msaada, je suluhisho linaweza likawa lipi?, nimeshauriwa kubadili touch screen yake ila bado sijajua kama ndio njia sahihi, ushauri wenu unahitajika
Umejaribu kubadili protector?
Gharama ya touch ni ndogo unaweza jaribu kuibadili mkuu.protector niliitoa kabisa lakini bado tatzo lipo vilele,
Je kubadili touch screen yake inaweza ikawa suluhisho,? ili nisije nikagharamia halafu ikawahasara
Thanks mkuu, ngoja niitafuteGharama ya touch ni ndogo unaweza jaribu kuibadili mkuu.