Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,557
- 2,694
- Thread starter
- #61
Imeboreshwa kuna kitu kinaitwa HRT Hydaulic Retention Time, na pia hii biodigester i look o effective sana kwenye biodegradation kuliko hizo ordinary septic tank system, na pia bei ya biodigester ni cheap, so why uhangaike na septicity?Huu mfumo hauna tofauti na zile septic tank za zamani ila mafundi wengi wakikuwa wanazikosea kuzijenga kiasi ambacho zikawa haziwezi kufanya kazi ikiyokusudia ya kufanya biodigester. Ninachoona katika huu mfumo ni uboreshwaji wa septic tank na kuifanya iwe ya size ndogo