Sultan Qaboos karibu Tanzania

Mkuu fikilia tena kidogo

Nifikilie mara ngapi Mkuu. Oman ni wa2 wa aina yake katika huu ulimwengu 2naoishi na ni wa2 wema na wakarimu mno kuliko nchi yoyote babaa,,,,na kama itajitenga basi tutarajie new ZNZ kwa msaada wa Oman,,,,na uchumi wao utainuka. Tatizo nchi yetu inawabania.
 
We are planted this issue in our mind so it's Ok but I am not seeing any changes through Arabia
 
Yaani Oman wanaweza kufanya Zanzibar vumbi lake lipotee? Mimi napafahamu vema Oman mbona vumbi lao bado wana safari ndefu sana ya kulipoteza? Au watatoa kipaumbele Kwa Vumbi la Zanzibar?
Miaka 50 ilopita Tanzania na Oman zote zilikua nchi Masikini.....
Leo baada ya Miaka 50 Oman imeiacha Tanzania Mara 10 zaidi!
Oman imeendelea kuliko Tanzania, wana uchumi imara kuliko Tanzania! Hivyo wanao uwezo wa kuisaidia Tanzania, msaada ni msaada tu!

Rais aliomba msaada toka Morocco ilhari Oman imeiacha mbali Morocco, kwa nini uone Oman hawawezi kusaidia Tanzania?
 

mkuu kuna kitu kimoja unatakiwa ufikirie,

Dunia ya sasa ukiwa na capital chochote kinafanyika, inawezekana Technology husika inatoka Marekani, ulaya au japan lakini nani mmiliki wa hio kampuni ya uchimbaji mafuta/gesi? kama mmiliki ni mwarabu, hao wazungu hawawezi kuja kuchimba huku kwa amri ya mmiliki?

kama huna Taarifa shirika la mafuta la oman linamiliki kampuni nyingi sana duniani za mafuta zikiwemo za ujerumani, china, spain, canada, india, hungary etc soma hapa investment zao za kimataifa, na chini utaona Tanzania Next.

Investments - Oman Oil Company S.A.O.C
 
Hata hizo Nchi za magharibi wenye Technology wanategemea sana watu wenye Fedha, wao hio Technology yao hawatoi bure . Ukiwa na Fedha mtu yoyote na Pahala popote duniani ataekeza,
Ndio maana Ukamuona Dangote ambaye ni Muafrika ameekeza London (amenunua hisa ya Arsenal) hio Pia ni kuwekeza
 
Prof labda ungeisoma tena historia ya Oman na Zanzibar halafu ndiyo ungetoa maoni yako, naomba pitia katika hii link ili upate kujua japo kidogo uhusiano wa kirafiki au uliyochanganya damu? History of the Oman and Zanzibar Sultanate
 
Hizo no ndoto za mchana mchana zenji hata ikijitenga haitaweza kuwa na uchumi Mkubwa Kama unavyofikilia wewe
Hata kama sio uchumi mkubwa ,bado hutoweza kuilinganisha na huku bara.
Sasa hivi tu tunapobishana hapa, wametuzidi kila kitu kwenye sekta zote kuanzia afya,maji ,umeme,vingine umalizie mwenyewe.
 
Tunataka kuchimba na kuuza mafuta yaliyopo kwenye mkondo huko Mtwara, hiyo ziara yake iwe ya kutalii tu.
Mgogororo wa mashariki ya kati ni fursa kwetu. Shime wa,- tz tuamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…