Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania
Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao kama kahawa ni shida tu! Hatujasikia Rais akihangaika kiasi hiki hadi kutukana waziri wake mbele ya Rais wa Uganda.
Yaonekana kila anayemtembelea rais, anapewa ahadi nzito. This is to be easy-going! Na kutaka sifa za kizembe Fulani hivi!