Comrade
Majighu2015
Nikuibie siri moja ya maisha kwa namna Tanzania inavyoendelea kupoteza thaman ya Fedha yake
....nimeanza kuweka % ya mapato yangu kwa kibubu cha Dollar kwa benki kila mwezi kuanzia July hii 2017.
Inshallah Mungu akitupa uzima hadi 2040 nitaenda kudroo na kuanza kula pesheni yangu ya kustaaf taratibuuuu nikiwa na My Wife . Hiyo ni miaka 23 kutoka sasa
Wakati huo Dollar inaweza kuwa 2700 na kuendelea
Nchi hii bila kujiongeza, Wanasiasa wataendelea kunufaika na sisi
Chief Economist