Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

Ila kipindi kile waliposema bei elekezi ya sukari ni 1800!!walikuwa na la kufanya ila wakashindwa?? Hakuna kitu amabachi serikali inaweza shindwa japo kwa kupunguza makali ya bei kama ikiamua!! Kuna sehemu nyingi tu za kurekebisha kidogo hasa kwenye mambo ya kodi na mwanachi akapata nafuu.
Kweli. Na pia serikali inaweza kuruhusu bidhaa ziagizwe toka nje kwa utaratibu rasmi ili kufidia pengo. Kuzuia bidhaa zisiingie na badala yake unahimiza watu wajenge viwanda hadi vianze uzslishaji na kuzipa pengo la upungufu ni mwaka gani?
 
Hizi ndio taarifa tunazo zipenda sisi matajiri ikiwa bei chini mbona hamtuambii!
 
Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.

Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Kwa hiyo ule mkwara alioingia nao mkulu mwaka 2016 umeyeyuka? Au alikuwa hajui kuwa ni tatizo la Afrika mashariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.

Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.

pambana na hali yako achana na ya Kenya.
 
Kenya pia Kenyatta kapiga marufuku vyama vingine kufanya siasa? Umewahi kusikia Kenyatta anakamata wapinzani wake wanapomkosoa kwa kumpa ukweli wake? Umewahi kusikia Odinga kupimwa mkojo kwa kusema ukweli. Iweje tujifananishe na Wakenya kwenye sukari na sio kwenye hayo mengine? Bajeti ya kilimo ya Kenya ni dhaifu kama hii yetu? Kumbuka kundi kubwa hapa kwetu ni wakulima, je serekali inawajali wakulima wetu kwa vitendo au ni porojo tu?
Wewe usifananishe kenya na sisi wao mpaka waliuana kwa mambobya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom