acheni bei zipande zote huku mishahara na vipato vikishuka au kutokidhi mahitaji maana tumeshaambiwa asiyefanya kazi na asile! Acha uchochezi si lazima kunywa chai na kama maisha ni magumu tumeshaambiwa tukalime kwani serikali haitoi msaada!!Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa......huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina lisssu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani......
Huu ugoro kamdanganye house girl wako nyumbaniSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Ni kweli kabisa unachosema Hopaje sasa una mapendekezo gani? Kumbuka jambo hili kingetokea nchi nyingi ambapo dhambi ya woga ilishakoma, moto ngewaka lakini sisi wenye nidhamu woga tufanyeje?Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa......huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina lisssu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani......
Utetezi wa kilumumba huuSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Mkuu ukiwa ndani ya lori (box board) huwezi kuona nje! Labda tunaelekea korongoni sasa kama sio kuporomokea kreta ya Ngorongoro!!Kwa upande wangu naona kama nchi imesimama vile..Vitu haviendi kila kona,vitu vinapanda bei kila kukicha,shilingi yetu inazidi kupoteza thamani kila siku,deni la taifa linaongezeka. Honestly,sijui tunaelekea wapi. Halafu watu wanapiga siasa uchwara eti aongezewe muda wa kutawala. Hatuko serious kabisa
Ko tukae kimya sababu kote bei inapanda? ni wajibu wa serikali kutatua changamoto kama hzo kwa kuwaangalia watu wake kama wanamudu au hawamuduSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.
Hiyo sio sukari ni mataputapu yanatoka msumbiji huku inauzwa 1000 kwa kilo ila mi sinunui hayo makituNchi gani hiyo?
Huku kwetu kilo ni 1800 mpaka 2000 tu, haizidi bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna vitu vinamgusa kila mtu ni muda tu bado huu uoga wetu utaondoka wenyewe na watu wataanza kujitambua....uchochezi unahitajika zaidiNi kweli kabisa unachosema Hopaje sasa una mapendekezo gani? Kumbuka jambo hili kingetokea nchi nyingi ambapo dhambi ya woga ilishakoma, moto ngewaka lakini sisi wenye nidhamu woga tufanyeje?
Inategemeana na sehem ata mimi nilipo 2500Nchi gani hiyo?
Huku kwetu kilo ni 1800 mpaka 2000 tu, haizidi bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kilitokea Zambia Sembe ilipopanda bei? Nini kimetokea hivi majuzi Misri mkate ulipopanda bei? Ukiona vitu vinapanda bei na watu wako kimya JUA KUNA WIZI MKUBWA UNAENDELEA KATIKA HIYO NCHI KAMA SIO UFISADI. Vitu haviwezi kupanda bei kinyume na hali ya kipato ukaweza kujikimu. Ki-akili ya kawaida ina maana tunaishi bila bajeti ikimaanisha kuna mahala tunatoa pesa za ziada ambazo si halali! Ki-akiliccm wizi/ganji/takrima/uhujumu ni vitu halali na sahihi ili tusipige kelele za kuumia bei zinapopanda bila kipato kuborekaSukari ni Tatizo Afrika Mashabiki nzima Kenya Wananunua kwa Sh. 5,600-6,000/Kg tuna bahati sana kuipata kwa sh. 4,000 siyo Suala la Kuanza kuilalamikia serikali Supply ni ndogo na Tanzania Tumeimarisha Bandari na Mipaka Smuggled Sugar haingii tena.
Kuna Vitu vingine hata vikipanda serikali haina cha Kufanya zaidi ya Ku Encourage watu waanzishe Viwanda vipya vyenye Capacity ya Kulisha Tanzania nzima.