Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Tunduma tsh 1600 per kg, yaani sisi mahitaji yetu tunavuka upande wa Zambia tunanunua home groceries tunakuja kula tz! Na hivi kwacha imeporomoka! Acha tuu ni kuteleza tuu mda huu! Nao Wana lockdown ya bar zao zote zimefungwa so nao mambo ya pombe wanakujua wanatelezea kwetu tz side! Life goes on! Raha ya border.
 
Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm baada ya kuzoea kuzama chumvini kwa demu wangu situmii tena sukari natumia chumvi tu kwenye chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi, Mabeberu wamepunguza uzalishaji wa mafuta. Yajayooo...........
 
Tunduma tsh 1600 per kg, yaani sisi mahitaji yetu tunavuka upande wa Zambia tunanunua home groceries tunakuja kula tz! Na hivi kwacha imeporomoka! Acha tuu ni kuteleza tuu mda huu! Nao Wana lockdown ya bar zao zote zimefungwa so nao mambo ya pombe wanakujua wanatelezea kwetu tz side! Life goes on! Raha ya border.
Kwacha imeshuka hadi sh ngapi mkuu maana naweza zamia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom