Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

mimi hata sijui bei gani
Nikifika kwa mama ntilie najipimia tu nakula nasepa.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mvua mwaka jana zilianza mapema sana. Inawezekana kabisa ziliathiri uzalishaji wa viwanda vya ndani. Maji yakijaa mashambani, inakuwa ngumu kutoa miwa. Ndio maana viwanda vingi vinaanza uzalishaji June baada mvua, mpaka February kabla ya masika.
Hizi za mwaka huu zikiendelea kwa muda sana, nazo pia zitatengeneza tatizo kama hilo.
Jibu swali, sio maelezo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu zile za kilo 50 hakuna zimebaki zile za kilo moja moja zilizofungwa toka kiwandani tayari.
Kilo ni 3000 na inaweza ikapanda zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana jiwe alituambia aliikuta sukari ikiuzwa Tshs 5,000 kwa kilo akaipunguza Hadi Tshs 2,500 na pia ingezidi kushika Bei.
Wanaomuamini Magufuli sijui huwa wanavutishwa kitu gani?!!!

Kipindi cha JK sukari ilikua mpaka 1,700/= kg hiyo ya 5,000 sijui ilikua inauzwa wapi, sasa hivi sukari ya viwanda vya ndani ni 3,000/= na inazidi kupanda
 
Mnaonunua sukari chini ya 3,200/= nina wasiwasi hiyo ni old stock. Ngojeni ikiisha hiyo "Mangi" akaleta ingine mtuambie.
Mimi nimeingiza stock mpya wiki iliyopita lkn bado inaniruhusu tu kuuza hiyo 2600 maana bado maslahi yapo.
 
Mnaonunua sukari chini ya 3,200/= nina wasiwasi hiyo ni old stock. Ngojeni ikiisha hiyo "Mangi" akaleta ingine mtuambie.
Kiwanda cha tpc huwa wanafunga kila mwaka kindindi hiki. ndo maana imependa.
 
Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilombero Morogoro inapozaliwa sukari tunanunua 2,600/=per kgs.
 
Back
Top Bottom