Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Sukari huko kwenu shilingi ngapi kilo moja..?

Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei

Sent using Jamii Forums mobile app

Mvua mwaka jana zilianza mapema sana. Inawezekana kabisa ziliathiri uzalishaji wa viwanda vya ndani. Maji yakijaa mashambani, inakuwa ngumu kutoa miwa. Ndio maana viwanda vingi vinaanza uzalishaji June baada mvua, mpaka February kabla ya masika.
Hizi za mwaka huu zikiendelea kwa muda sana, nazo pia zitatengeneza tatizo kama hilo.
 
Kimara stop over ni 2800 ya kupima ila ile ya pakti(Bwana sukari) ni 3000

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..[emoji382]
 
Back
Top Bottom