Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
1kg 2800
Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani itakuwa tupo Mtaa mmoja sio bure 😎 mana na huku kwetu bei ni hiyo hiyo ya 2600.2600
Wewe si umegoma kufungua pm yakoMtani itakuwa tupo Mtaa mmoja sio bure í ½í¸ mana na huku kwetu bei ni hiyo hiyo ya 2600.
😀Wewe si umegoma kufungua pm yako
4200Huku arusha nimeenda dukani nikauziwa kilo moja ya sukari shilingi 3500 ..he huko mliko nyie mnauziwa shilingi ngapi..?mpaka nimeshtuka..huku muuzaji akisema tokea juzi sukari imepanda bei
Sent using Jamii Forums mobile app