mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Nov 14, 2016 #1 Wakuu huku kumebana sana, sijui kama ntaweza kwenda kama kawaida yangu, sasa naomba wazo lako nisemeje maana kusema sina hela hawatanielewa
Wakuu huku kumebana sana, sijui kama ntaweza kwenda kama kawaida yangu, sasa naomba wazo lako nisemeje maana kusema sina hela hawatanielewa
Crocodiletooth JF-Expert Member Oct 28, 2012 18,703 21,059 Nov 14, 2016 #2 -->wawesiye kyalema, wambese kuore mndu akelawo maghufuli.
N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 6,827 9,536 Nov 14, 2016 #3 Waambie hujamaliza kupigilia banda la kuku na msimu wa mvua unakaribia
Msherwa JF-Expert Member Aug 4, 2012 1,335 1,225 Nov 14, 2016 #4 Wanaujua ukweli, We potezea tu, Hata wao wanaombea uwe umefikia uamuzi huu sasa Na watakuja hapa sio muda na nyuzi za kutosha za kuomba ushari wa jinsi ya kukuzuia usiende!
Wanaujua ukweli, We potezea tu, Hata wao wanaombea uwe umefikia uamuzi huu sasa Na watakuja hapa sio muda na nyuzi za kutosha za kuomba ushari wa jinsi ya kukuzuia usiende!
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,153 22,729 Nov 14, 2016 #5 Kwanini wasikuelewe...ilhali ninyi ndo mmeongoza kwa kutumbuliwa...
C Chagga King JF-Expert Member Jul 6, 2011 1,826 1,045 Nov 14, 2016 #6 Hela ya kwenda KLM haihusiani kabisa na ukata, yenyewe huwa ipo tu,
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Jan 2, 2016 2,026 3,100 Nov 14, 2016 #7 Safari ipo pale pale.... Hakuna kilichofanyika kunizuia kwenda moshi.
sunola JF-Expert Member Jun 19, 2013 2,781 1,738 Nov 14, 2016 #8 mbura! kya muna kyanganya kya mae te wawa. Kyalema koose ngiichi nimmunyi kumbe weho na wengi. Dako kilema ski.
mbura! kya muna kyanganya kya mae te wawa. Kyalema koose ngiichi nimmunyi kumbe weho na wengi. Dako kilema ski.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Nov 14, 2016 Thread starter #9 data said: Kwanini wasikuelewe...ilhali ninyi ndo mmeongoza kwa kutumbuliwa... Click to expand... Nani katumbuliwa
data said: Kwanini wasikuelewe...ilhali ninyi ndo mmeongoza kwa kutumbuliwa... Click to expand... Nani katumbuliwa
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Nov 14, 2016 Thread starter #10 Mangi flani hivi said: Safari ipo pale pale.... Hakuna kilichofanyika kunizuia kwenda moshi. Click to expand... Basi utanipa lift
Mangi flani hivi said: Safari ipo pale pale.... Hakuna kilichofanyika kunizuia kwenda moshi. Click to expand... Basi utanipa lift
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,358 Nov 14, 2016 #13 Sio lazima kwenda. Unaenda kila mwaka kufanya nini cha maana?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 81,084 93,894 Nov 14, 2016 #14 Tuma hela nyumbani hakuna namna.
kampelewele JF-Expert Member Oct 13, 2014 2,921 2,263 Nov 14, 2016 #15 Bavaria said: Sio lazima kwenda. Unaenda kila mwaka kufanya nini cha maana? Click to expand... Tunaendaga kutambikia mangi
Bavaria said: Sio lazima kwenda. Unaenda kila mwaka kufanya nini cha maana? Click to expand... Tunaendaga kutambikia mangi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 34,176 54,704 Nov 14, 2016 #16 Wataarifu kuwa bado unahakikiwa hadi Februari mwakani.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Nov 17, 2016 Thread starter #17 Moisemusajiografii said: Wataarifu kuwa bado unahakikiwa hadi Februari mwakani. Click to expand... Mkuu sijaajiriwa
Moisemusajiografii said: Wataarifu kuwa bado unahakikiwa hadi Februari mwakani. Click to expand... Mkuu sijaajiriwa
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Aug 21, 2015 619 471 Nov 17, 2016 #18 safari ya moshi ipo palepale...december ina budget yake
K Kilemachocho JF-Expert Member Feb 19, 2016 560 365 Nov 17, 2016 #19 kamanda wa makamanda said: safari ya moshi ipo palepale...december ina budget yake Click to expand... Meku Siku unaondoka kama kuna nafasi nidandie
kamanda wa makamanda said: safari ya moshi ipo palepale...december ina budget yake Click to expand... Meku Siku unaondoka kama kuna nafasi nidandie
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Nov 17, 2016 Thread starter #20 Kilemachocho said: Meku Siku unaondoka kama kuna nafasi nidandie Click to expand... Nshamuwahi mkuu mi sina ata sanduku
Kilemachocho said: Meku Siku unaondoka kama kuna nafasi nidandie Click to expand... Nshamuwahi mkuu mi sina ata sanduku