Sujui safari ya Moshi kama itaendeka Christmas hii, nishauri niwape excuse gani?

Wanaujua ukweli,

We potezea tu,

Hata wao wanaombea uwe umefikia uamuzi huu sasa

Na watakuja hapa sio muda na nyuzi za kutosha za kuomba ushari wa jinsi ya kukuzuia usiende!
 
Back
Top Bottom