Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
167
503
Habari za muda huu wakuu, Leo katika pita pita zangu nilifika ubungo stand ya mabus ya zamani, nilipofika yale maeneo nilikumbuka tukio moja ambalo niliwahi fanyiwa miaka ya 2011 kipindi nikiwa Advance.

Ilikuwa hivi wakati nikiwa Advance nilikuwa nasoma high school moja iliyopo iringa kwahyo tunapokaribia kufungua shule Mshua alikuwa ananipatia nauli nikakate mwenyewe ticket.

Sikuwaga na ule utaratibu wa kukata ticket siku ileile ya safari nilikuwa naogopa kukosa gari.

Sasa siku hiyo kama kawaida nikachukua nauli yangu hadi ubungo kama unavyojua kwenye stand za mabus kumejaa mawakala wa mabus kama wot.

Na wengine Wanakwenda mbali zaidi Wanavaa hadi sale ya bus husika unaweza jua ni muhusika kumbe dalali tu anataka akupeleke ofisini yeye apewe Buku siku iende.

Sasa siku hiyo Ile nafika tu pale gafla akanidaka jamaa mmoja chap na kuniuliza unaelekea wapi nkamjibu nasafri kwenda iringa j2 hvyo Leo nmekuja kufanya booking tu.

Akasema usijar dogo limeisha lete Hela Kisha nifuate kiukweli nilikuwa kma sielewi kinachoendelea yaani yule jamaa alinichukua hadi kwenye mlango wa bus za Upendo akaniambia nisubr maana gari zimejaa lete nikakuombee ndani.

Baada ya dak kma Tano hv akarudi akaniambia dogo gari zimejaa ila nmekufanyia mpango utaenda hiyo j2 Wala usiwe na wasiwasi Kuna bus litakuja siku hiyo asbh mtapanda na ticket mtapewa hapohapo maana bus ni jipya ila kwasasa shika hii ticket ukija siku hiyo utaonyesha.

Hiyo ticket aliyoniambia nishike ilikuwa ni ticket ya daladala Mbezi -Kariakoo na Wala sikuwaza Kwa undani nikaondoka.

Wakati nikiwa njian naenda nyumban akili ndio ikanirudi kawaida mbona hii ticket ya daladala sijapigwa kweli, akili ikaniambia hapa nishapigwa na sijui nyumbn naenda kusema nini.

Mimi nkarud zangu home Wala sikusema kitu ,ila yule jamaa alinipa namba yake ya simu na nilimkariri na sura
Ilipofika j2 siku ya safar mm nikabeba vitu vyangu hadi stand.

jamaa nkamkuta ananiambia dogo subr, kwenda utaenda kwa namna yoyte aliniweka sehm nikakaa hadi saa Saba hiv akaja akaniambia Sasa sikia mm naenda kukuombea kwenye coster Fulani ila nitawaambia wewe ni mtoto wa askari hawatakufanya kitu na utasafiri.

Sasa kwakuwa namm sikutaka mtu yoyote nyumban ajue nikawa nakubaliana na Kila Hali ikaja coster kwel akawaambia vilevile huku anawaonyesha traffic mmoja alikuwa Kwa mbali maeneo ya geti la kutokea mm nkapewa seat ya mbele nikakaa tukaondk saa nane nkafika iringa usiku.

Najua kabisa Ile nauli jamaa aliipiga yeye mwenyew basi nkikumbuka Hilo tukio najicheka sana yaani kupewa ticket ya daladala Kwa niaba ya bus.

Uliwahi tapeliwa nini hadi Leo haujasahau?

1695747053551.jpg
 
Ilikuwa hivi wakati nikiwa Advance nilikuwa nasoma high school moja iliyopo iringa kwahyo tunapokaribia kufungua shule Mshua alikuwa ananipatia nauli nikakate mwenyewe ticket

Sikuwaga na ule utaratibu wa kukata ticket siku ileile ya safari nilikuwa naogopa kukosa gari,

Sasa siku hiyo kama kawaida nikachukua nauli yangu hadi ubungo kama unavyojua kwenye stand za mabus kumejaa mawakala wa mabus kama wote

Na wengine Wanakwenda mbali zaidi Wanavaa hadi sale ya bus husika unaweza jua ni muhusika kumbe dalali tu anataka akupeleke ofisini yeye apewe Buku siku iende.

Sasa siku hiyo Ile nafika tu pale gafla akanidaka jamaa mmoja chap na kuniuliza unaelekea wapi nkamjibu nasafri kwenda iringa j2 hvyo Leo nmekuja kufanya booking tu

Akasema usijar dogo limeisha lete Hela Kisha nifuate kiukweli nilikuwa kma sielewi kinachoendelea yaani yule jamaa alinichukua hadi kwenye mlango wa bus za Upendo akaniambia nisubr maana gari zimejaa lete nikakuombee ndani,

Baada ya dak kma Tano hv akarudi akaniambia dogo gari zimejaa ila nmekufanyia mpango utaenda hiyo j2 Wala usiwe na wasiwasi Kuna bus litakuja siku hiyo asbh mtapanda na ticket mtapewa hapohapo maana bus ni jipya ila kwasasa shika hii ticket ukija siku hiyo utaonyesha.

Hiyo ticket aliyoniambia nishike ilikuwa ni ticket ya daladala Mbezi -Kariakoo na Wala sikuwaza Kwa undani nikaondoka.

Wakati nikiwa njian naenda nyumban akili ndio ikanirudi kawaida mbona hii ticket ya daladala sijapigwa kweli, akili ikaniambia hapa nishapigwa na sijui nyumbn naenda kusema nini

Mimi nkarud zangu home Wala sikusema kitu ,ila yule jamaa alinipa namba yake ya simu na nilimkariri na sura
Ilipofika j2 siku ya safar mm nikabeba vitu vyangu hadi stand
jamaa nkamkuta ananiambia dogo subr, kwenda utaenda kwa namna yoyte aliniweka sehm nikakaa hadi saa Saba hiv akaja akaniambia Sasa sikia mm naenda kukuombea kwenye coster Fulani ila nitawaambia wewe ni mtoto wa askari hawatakufanya kitu na utasafiri.

Sasa kwakuwa namm sikutaka mtu yoyote nyumban ajue nikawa nakubaliana na Kila Hali ikaja coster kwel akawaambia vilevile huku anawaonyesha traffic mmoja alikuwa Kwa mbali maeneo ya geti la kutokea mm nkapewa seat ya mbele nikakaa tukaondk saa nane nkafika iringa usiku

Najua kabisa Ile nauli jamaa aliipiga yeye mwenyew basi nkikumbuka Hilo tukio najicheka sana yaani kupewa ticket ya daladala Kwa niaba ya bus.

Uliwahi tapeliwa nini hadi Leo haujasahau??????View attachment 2819926
Unaweza kuonekana ni mjinga na shule haijakusaidia unaibiwa kizembe, ila wakati unapigwa tukio akili sijui huwa zinaenda wapi hazipo zikusaidie
 
Kunatukio nimepigwa huwa siwezagi hata kumuhadithia mtu najiona ni mjinga sana, tena nimepigwa nikiwa na akili timamu nikawa natuma pesa kwa awamu tofauti tofauti nimekuja kujuwa naibiwa too late inaniuma sana hiyo, na huwa sitaki kuikumbuka au kumuhadithia mtu najiona mjinga, ila zile njama ni kiboko
 
Habari za muda huu wakuu, Leo katika pita pita zangu nilifika ubungo stand ya mabus ya zamani, nilipofika yale maeneo nilikumbuka tukio moja ambalo niliwahi fanyiwa miaka ya 2011 kipindi nikiwa Advance.

Ilikuwa hivi wakati nikiwa Advance nilikuwa nasoma high school moja iliyopo iringa kwahyo tunapokaribia kufungua shule Mshua alikuwa ananipatia nauli nikakate mwenyewe ticket.

Sikuwaga na ule utaratibu wa kukata ticket siku ileile ya safari nilikuwa naogopa kukosa gari.

Sasa siku hiyo kama kawaida nikachukua nauli yangu hadi ubungo kama unavyojua kwenye stand za mabus kumejaa mawakala wa mabus kama wot.

Na wengine Wanakwenda mbali zaidi Wanavaa hadi sale ya bus husika unaweza jua ni muhusika kumbe dalali tu anataka akupeleke ofisini yeye apewe Buku siku iende.

Sasa siku hiyo Ile nafika tu pale gafla akanidaka jamaa mmoja chap na kuniuliza unaelekea wapi nkamjibu nasafri kwenda iringa j2 hvyo Leo nmekuja kufanya booking tu.

Akasema usijar dogo limeisha lete Hela Kisha nifuate kiukweli nilikuwa kma sielewi kinachoendelea yaani yule jamaa alinichukua hadi kwenye mlango wa bus za Upendo akaniambia nisubr maana gari zimejaa lete nikakuombee ndani.

Baada ya dak kma Tano hv akarudi akaniambia dogo gari zimejaa ila nmekufanyia mpango utaenda hiyo j2 Wala usiwe na wasiwasi Kuna bus litakuja siku hiyo asbh mtapanda na ticket mtapewa hapohapo maana bus ni jipya ila kwasasa shika hii ticket ukija siku hiyo utaonyesha.

Hiyo ticket aliyoniambia nishike ilikuwa ni ticket ya daladala Mbezi -Kariakoo na Wala sikuwaza Kwa undani nikaondoka.

Wakati nikiwa njian naenda nyumban akili ndio ikanirudi kawaida mbona hii ticket ya daladala sijapigwa kweli, akili ikaniambia hapa nishapigwa na sijui nyumbn naenda kusema nini.

Mimi nkarud zangu home Wala sikusema kitu ,ila yule jamaa alinipa namba yake ya simu na nilimkariri na sura
Ilipofika j2 siku ya safar mm nikabeba vitu vyangu hadi stand.

jamaa nkamkuta ananiambia dogo subr, kwenda utaenda kwa namna yoyte aliniweka sehm nikakaa hadi saa Saba hiv akaja akaniambia Sasa sikia mm naenda kukuombea kwenye coster Fulani ila nitawaambia wewe ni mtoto wa askari hawatakufanya kitu na utasafiri.

Sasa kwakuwa namm sikutaka mtu yoyote nyumban ajue nikawa nakubaliana na Kila Hali ikaja coster kwel akawaambia vilevile huku anawaonyesha traffic mmoja alikuwa Kwa mbali maeneo ya geti la kutokea mm nkapewa seat ya mbele nikakaa tukaondk saa nane nkafika iringa usiku.

Najua kabisa Ile nauli jamaa aliipiga yeye mwenyew basi nkikumbuka Hilo tukio najicheka sana yaani kupewa ticket ya daladala Kwa niaba ya bus.

Uliwahi tapeliwa nini hadi Leo haujasahau?

View attachment 2819926
Kuna Ndezi walinipiga Simu yangu na Pesa sitasahau Dah Nasijui nilipigwaje aisee..

Hiyo ilikuwa mwaka 2007 nakumbuka ndo kipindi Simu za Nokia Express Music zimeingia ingia nikakutana na chali mmoja mjini..Na mfukoni nilikuwa na 40,000.
Na simu yangu ya Nokia 1110c..

Bwana jamaa kaja kama teja ananiambia kuna simu kaipiga Stend nimpe elfu 80 tu aniachie dah nikawaza nikashushana naye mpaka 50 sasa nikawaza Mfukoni sina hela na 40k tu jamaa akaniambia Sio mbaya kwakuwa simu ni mpya kabisa nikaamua kukubali nakumbuka kipindi hicho dukani hutoki na Xpress Music bila 95 au 100k
Nikasema sio mbaya nikaikagua simu nikaona iko fresh kabisa sasa kipindi nasita sita kuichukua akaja mshkaji mwingine akamwambia "hii simu biashara au"
Jamaa akasema "ndiyo"
Nipe 70k tu bro jamaa akaanza kutoa hela..Nikaona ohooo hapa ntakosa simu. Si nikamuwahi jamaa kumpa simu yangu na ile 40k..
Jamaa akasema kwakuwa simu nimeipiga ngoja nikuwekee kwenye mfuko vizuri..dah na mimi nikaichukua fresh mpaka home...
Nafika home Wife alikuwa anatumia Motorola bapa nikamwambia nishakupiku bhna nimechukua Express Music..
Oya naitoa hivi..
Jamaaani kuna maumivu nyie yasikueni Tu jamaa waliniuzia sabuni....
Mpaka leo nikitaka simu lazma nikanunue Dukani na sio mtaani 😅😅😅
 
Express music dukani kwa 100k mwaka 2007? Hapana aisee... Mi nilinunua 2010 kwa 180k.... Kumbuka zimetoka 2007 mwezi wa 9 hizi bongo mpaka kufika ilikua 2008 Hio chief
 
Uzuri ulifika ulikokuwa unaenda, no matter what, jamaa alicheza kama Pele ikawa win win situation.
 
Mimi kuna watu walijifanya Tanesco. Jamaa walipita mitaa ya home wakauliza kwa nini nyumba haina umeme wakati nguzo ipo jirani. Binti akawajibu, Tanesco wanazingua.

Wakajitambulisha ni Tanesco wakataka kuongea na mimi. Binti kawapa namba mmojawapo akanipia.
Baada ya utambulisho akaniuliza kama nimeshalipia, nika jibu ndiyo. Akasema kuna shida ya mita, lakini nikiwapa pesa kidogo kesho yake watanifungia. Bei gani, 40,000/= tu. Nikawaambia kesho waje na mita wataikuta pesa yao. Wakakomaa kuwa kutoa mita ni mchakato mpaka wamtoe kidogo mtu wa stoo. Baada ya maongezi marefu nikatuma pesa. Toka siku hiyo hadi Leo hiyo namba haijawahi kupatikana hewani.

Nilikaa wiki moja baada ya hapo nikaona mbwai iwe mbwai, hasira zangu nikahamishia kwa maneja. Nikamstaki kwa wakubwa kwa kunicheleweshea umeme licha ya kukamilisha taratibu na amekuwa akiniahidi mara kibao.

Kesho yake walikuja kuifunga mita. Lakini 40,000/= na ya kutolea ikiwa imeshaliwa.
 
Mpaka leo nikitaka simu lazma nikanunue Dukani na sio mtaani
 
mimi na jamaa angu tuliuziwa sabunii aiseee kkoo hatarii.. nyingine nilikutana na wale wazee wansema wana dhahabu ila hawajui wapi inauzwaa anatokea mtu mwingine anakwambia mmpeleke mzee wanapouza akipata hela mnagawanaa...mamaee wale mafalaa matapelii balaaa
 
Express music dukani kwa 100k mwaka 2007? Hapana aisee... Mi nilinunua 2010 kwa 180k.... Kumbuka zimetoka 2007 mwezi wa 9 hizi bongo mpaka kufika ilikua 2008 Hio chief
Mkuu express Music zilo Series nyingi sana zilikuwa zinaitwa x series nazikumbuka kwa sababu baadae nilikuja kununua baada ya miezi mitatu Kama ile ile ilikuwa 130,000..
Ilikuwa Xpress Music 5700
 
mimi na jamaa angu tuliuziwa sabunii aiseee kkoo hatarii.. nyingine nilikutana na wale wazee wansema wana dhahabu ila hawajui wapi inauzwaa anatokea mtu mwingine anakwambia mmpeleke mzee wanapouza akipata hela mnagawanaa...mamaee wale mafalaa matapelii balaaa
Hao mi nilikuwa nishawajua kwa sababu wengi walikuwa washawapiga sana Tangu miaka ya 2001
 
Wanatumiaga ushirikina hao watu. Anachosema unaitikia tu
Sio kama matukio yote unatekwa ufahamu kwa kishirikina ingawa yapo matukio ya hivyo, kuna wakati wanatumia akili ya ziada sana mkuu yani acha tu, tapeli anakujua tu kwa kukuangalia kuwa anakupiga atatumia akili nyingi sana, mimi nimepigwa tukio walivyo win trust yangu tu hapo hapo ikawa kwisha habari yangu
 
Kuna Ndezi walinipiga Simu yangu na Pesa sitasahau Dah Nasijui nilipigwaje aisee..

Hiyo ilikuwa mwaka 2007 nakumbuka ndo kipindi Simu za Nokia Express Music zimeingia ingia nikakutana na chali mmoja mjini..Na mfukoni nilikuwa na 40,000.
Na simu yangu ya Nokia 1110c..

Bwana jamaa kaja kama teja ananiambia kuna simu kaipiga Stend nimpe elfu 80 tu aniachie dah nikawaza nikashushana naye mpaka 50 sasa nikawaza Mfukoni sina hela na 40k tu jamaa akaniambia Sio mbaya kwakuwa simu ni mpya kabisa nikaamua kukubali nakumbuka kipindi hicho dukani hutoki na Xpress Music bila 95 au 100k
Nikasema sio mbaya nikaikagua simu nikaona iko fresh kabisa sasa kipindi nasita sita kuichukua akaja mshkaji mwingine akamwambia "hii simu biashara au"
Jamaa akasema "ndiyo"
Nipe 70k tu bro jamaa akaanza kutoa hela..Nikaona ohooo hapa ntakosa simu. Si nikamuwahi jamaa kumpa simu yangu na ile 40k..
Jamaa akasema kwakuwa simu nimeipiga ngoja nikuwekee kwenye mfuko vizuri..dah na mimi nikaichukua fresh mpaka home...
Nafika home Wife alikuwa anatumia Motorola bapa nikamwambia nishakupiku bhna nimechukua Express Music..
Oya naitoa hivi..
Jamaaani kuna maumivu nyie yasikueni Tu jamaa waliniuzia sabuni....
Mpaka leo nikitaka simu lazma nikanunue Dukani na sio mtaani
Ulikua kwenye wakati mgumu sana, naona ilikuchukua muda kuamini
 
Mimi kuna watu walijifanya Tanesco. Jamaa walipita mitaa ya home wakauliza kwa nini nyumba haina umeme wakati nguzo ipo jirani. Binti akawajibu, Tanesco wanazingua.

Wakajitambulisha ni Tanesco wakataka kuongea na mimi. Binti kawapa namba mmojawapo akanipia.
Baada ya utambulisho akaniuliza kama nimeshalipia, nika jibu ndiyo. Akasema kuna shida ya mita, lakini nikiwapa pesa kidogo kesho yake watanifungia. Bei gani, 40,000/= tu. Nikawaambia kesho waje na mita wataikuta pesa yao. Wakakomaa kuwa kutoa mita ni mchakato mpaka wamtoe kidogo mtu wa stoo. Baada ya maongezi marefu nikatuma pesa. Toka siku hiyo hadi Leo hiyo namba haijawahi kupatikana hewani.

Nilikaa wiki moja baada ya hapo nikaona mbwai iwe mbwai, hasira zangu nikahamishia kwa maneja. Nikamstaki kwa wakubwa kwa kunicheleweshea umeme licha ya kukamilisha taratibu na amekuwa akiniahidi mara kibao.

Kesho yake walikuja kuifunga mita. Lakini 40,000/= na ya kutolea ikiwa imeshaliwa.
Lazima upigwe kwanza ndiyo akili ikukae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom