SUGU vs MWANA FA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUGU vs MWANA FA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Somji Juma, May 4, 2012.

 1. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,503
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  jaman nisaidieni,kwa kulinganisha nyimbo zao nan mkali..
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Kimashairi na delivery ya ujumbe F.A yuko juu. Labda ungeuliza mengine vitu kama harakati hapo ningesema sugu.
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tembo vs swala.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Sugu ni Mbunge anayepata Mshahara wa shilling million 7 kwa mwezi plus marupurupu kibao, wewe ndio unataka kumlinganisha na huyu Njiti MwanaFa!!??
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Jengeni tabia ya kusoma vizuri na kuelewa mtu anacho uliza. Hakuuliza mshahara wala maisha kauliza ukilinganisha nyimbo (mziki) zao nani mkali? Mziki na ubunge ni vitu viwili tofauti. Vicky kamata ni mbunge na mwanamziki lakini ingawa ni mbunge mziki wake ukilinganisha na lyna sanga ambaye hana kitu lyna ni bora.
  So jibu alichouliza
   
 6. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,503
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280

  ungesema hivi ningekuelewa..
  kimashair FA yupo juu ila kwa ujumbe,ebu chukua nymbo zote za SUGU na za FA,kisha angalia nan ana nyimbo nying zilizo na ujumbe..
   
 7. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,503
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280

  vema umemuelewesha coz kaenda nje ya mada..
   
 8. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,503
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280

  jbu direct..
  ukisema hvo sikuelew coz hata DAUD alimuangusha GOLIATI..
  na hata CHELSEA alimfunga BARCA..
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Mimi naweza sema FA nyimbo zake nyingi kama sio zote zina ujumbe sema tatizo watu wengi hamuelewi ni nini anaongea kutokana na uandishi wake hauko direct yani inahitaji uumize kichwa ndio umuelewe.
  Mfano roma, na sugu delivery yao ni directly ndio maana wanaonekana wanaimba ujumbe sana.
   
 10. b

  big niga Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu hana chochote cha kumlinganisha na mwana FA,kuuliza swali bungeni mpaka aandikiwe kwenye karatasi na kina mnyika ndo anajibu, hana lolote sema watanzania wamechoka wanachagua tu ili mradi awe mpinzani,mwana FA huwez kumlinganisha na huyu mshamba
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Nyinyi si ndio wale Wanaume kama mabinti, kauli zako tu zinaonesha kwamba ni Adam Mchovu & co.....
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa kuna mada au Uharo mtupu, wewe unataka kulinganisha mlima na Kichuguu? Fa na Sugu wapi na wapi, watu mliokuja mjini na mbio za Mwenge ni Rahisi kuwabaini.
   
 13. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hizi dharau!.......labda muulizaji nani zaidi kwa sasa nyimbo zake kupigwa redioni?sugu pamoja na upimbi wake mwingine lakini huwezi kumfananisha na boya FA katika mziki!FA album moja hawezi kuandika yote mwenyewe mpaka asaidiwe kuandika!sugu nyimbo zake za miaka hiyo zikipewa air time leo zinahit!hili swali akiulizwa njiti FA mwenyewe atakuambia kaka SUGU zaidi
   
 14. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni ujinga sana kumfananisha Sugu na Mwana FA.

  Kimziki Mashairi ya Sugu yana content, na ukisikiliza you can feel lyrical sentiments za maana. Mwana FA ni msanii mzuri kumsikiliza kwa watu ambao hawapendi kufikiri, good thing kuhusu mashairi yake ni kuwa huwa yana rejista za 'kitoto' ambazo zinapendwa sana na watoto hasa wa sekondari na malimbukeni.

  Kimaisha, Sugu ni godfather kwa huyo dogo, ndiye aliyempokea UK na kuishi naye Ghetto... Kwenye mafnikio binafsi mnafahamu Sugu alikotoka na alipo kwa sasa na hii ni kwa juhudi zake yeye binafsi!

  Siasa, Mwana FA anatarajia kugombea jimbo la Muheza kupitia Magamba na anyembeba katika hili ni J. Makamaba.

  Kwa hiyo unaweza ona kila mahali mwana FA ni mtu wa kubebwa na Sugu is a real hustler. Ngoma zake zote zinabeba Mantiki mfano Mikononi mwa polisi, Miaka chini ya kumi na nane n.k popular hits za mwana FA ni kama Bado niponipo, usije mjini na taarabu ile aliyoimba na Linah. Check content za nyimbo za Sugu na Mwana FA ndio utafahamu tofuti!
   
 15. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Dogo leo umeongea point!!
   
 16. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hahaha, wabongo bwana wakimpenda mtu watampa sifa hata ambazo hana ili mradi tu basi wamempenda. Lakini deep within wanajua ukweli ni upi japo wanajaribu ku change the fact, kwa hili swali jamaa aliloz uliza bila kuangalia mambo mengine ya kimaisha, na harakati FA ni mkalii kwa hili.
  Mimi mtu akiniambia nimtajie watu nao wakubari, nitamtajia wafuatao kutoka na jinsi wanavyo andika na kudeliver message kuptia mziki na ntawataja tu si kwa mpangilio.
  One the incredible, Fid Q, F.A, Hashim Dogo na naweza mwongeza Stereo.
  Hii ni kutokana na kwamba uandishi wao uko tofauti si kila mtu anaweza uandishi ule
   
 17. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uandishi gani unaosemea wewe!!

  Ukisema tuwafananishe kwa sura zao ni kweli Mwana FA ni mrembo!! Halafu wewe unachanganyikiwa tokana na jinsi wanavyoghani kwa madoido na namna media zinavyo waglorify na kuwafanya waonekane wao ndio wanafanya vema!!

  Unawafahamu XPs!!?? XPs wamefany hadi cypher za BET. Unaona ngoma zao zinavyo venture kimataifa?? Umewahi wasikia wakiwaiga wasanii wa marekani kwenye hicho mnachoita 'swagga'?? Muziki ni Identity na unapaswa uwe na namna yako ya kutambulika na si kuigizia!! Nadhani umesikia ngoma za Sugu zilivyo verbiage katika ujumbe na flow ya pekee!!

  Unamfahamu Maembe?? PJ Chaba??

  Muziki huo unaoshabikia haiwezi last kwa miaka hata sita itakuwa perish, kwani ni Big G kwa watoto wasiopenda kufikiri na haina knowledge yoyote zaidi ya mbwembwe!
   
 18. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Wajua mziki inabidi ukupe ujumbe huku ukikuburudisha, kama msanii hakuweza fanya hilo basi ni wazi kuwa utakuboa na hutausikiliza tena. Ni infact ni wazi mashairi ya FA yatakufanya uwaze zaidi kuliko mashairi ya sugu. Sugu namkubari kama mwanaharakati na mwasisi wa mziki wa Hip Hop lakini niki compare miziki yake na FA, kwangu sugu miziki yake ni low.
  Hip Hop ya mwaka 1990 ni tofauti na ya leo ukiimba style ile ya miaka ile ni wachache watakusikiliza mziki unabadilika na kumbuka mziki unaimbia watu wasikilize so ukiimba kitu ambacho ni wachache watakao sikiliza sidhani kama ina make sense
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sugu moto chini consious rapper!
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  unajua watu walioanza kuujua mziki miaka ya jk hawawezi kumfahamu sugu. Ndo maana wanataka kumlinganisha na mwana FA. Unakumbuka enzi za niko mikononi mwa polisi? Wanataka kutuambia ujinga wa fa wa bado niponipo ni sawa na mashairi ya sugu enzi hizo? Huwezi kushangaa kwani hata watoto wasiomfahamu zidane wataanza kumlinganisha na cristiano.
   
Loading...